wenye magari Tunaomba mtuambie taratibu za kulipa hii pesa ya maegesho ya Gari.baada ya kumshinikiza alipe deni la Sh.7500 ya uegeshaji gari lake (Toyota Hilax)
Kama huna uwezo wa kuhudumia gari usilinunue.Mtu mmja aliyejulikana kwa jina la William Mgaya ambaye ni wakala wa kukusanya ushuru wa magari ameuawa kwa kupigwa risasi na mfanyabiashara wa madini kutoka Chunya.
Polisi wa Mbeya wanamshikilia mtuhumiwa kwa hatua zaidi za kisheria.
My Take
Serikali kuweni makini na kuwapa watu silaha, siyo kila mwenye vijisenti anafaa kupewa silaha.
----
Polisi mkoani Mbeya inamshikilia Ezekia Luhwesha (31) mchimbaji na mnunuzi wa madini mkazi wa Matundasi Chunya,kwa tuhuma za kumuua kwa kumpiga risasi wakala wa maegesho ya magari William Mgaya (58) baada ya kumshinikiza alipe deni la Sh.7500 ya uegeshaji gari lake (Toyota Hilax)
Kesi itaahirishwa kwa kutokamilika upelelezi wakati mpelelezi anamakizia nyumba yake, Kisha faili litapotea huku makatani nao wakipandisha nyumba zao. Baada ya mwaka, mwamba atapigwa faini ya laki Saba kwa uzembe. Mnakumbuka kesi vicent vs jamahiriyah kule Senegal.Kaa hivyo hivyo, akienda jela katika awamu hii niite mbwa nimekaa hapa
Na washamba wengi sahv ndy wanamiliki silahaHasara ya kuwapa watu washamba wamiliki silaha ndio hizi
Pole kwa ndugu jamaa na marafiki walopoteza ndugu yao
Mbeya Kuna unable wa kishamba Sana.Kama huna uwezo wa kuhudumia gari usilinunue.
Matajiri uchwara wamekuwa wanaingia kwenye mgogoro na ma agent wa serikali hasa traffic na Hawa wakusanya ushuru.
Mtu unamiliki gari la MILIONI 30, unashindwa kulipa faini au ushuru wa 10,000?
Unafikiri kesi ya mauaji unaimaliza kirahisi, hapo lazima atatumia sanaHuyo anatoka tu kesho
Tatizo la hii system mpya ya parking unajikuta unaambiwa unadaiwa na machine,na hujui Nani alikumulika! Wangefanya hizi machine zao kila zinapokumulika,na wwe wakati huo huo upate msg kwa simu yako kua umemulikwa na parking system,hata Kama kuna Mtu umemuazima gari unakua unajua Kama ndiyo kaingiza deni la parking kwa gari yako! Lakini hii ya kumulikwa kimyakimya bado italeta mtafaruku sana Kati ya wenye Magari na watu wa parking!!wenye magari Tunaomba mtuambie taratibu za kulipa hii pesa ya maegesho ya Gari.
Tatizo kubwa lipo hapa kumshinikiza kulipa deni
Je ilo deni huwa linalipwa Wakati gani, na huwa linalipwa Cash, akiwa nyumban kwake anaweza kufanya Malipo ya deni kwenye Simu.
Ndezi tu huyoAiseeee Mental Health problem is real.
Yaani una Puto Hilux unabishana na mzee kwa 7500? Muuza madini?? Huyo mzee wa 58 si ungempa na Tip ya elfu 20 akawape wajukuu ili upate thawabu?
Hera... helaUjana plus hera ukiplus na 7500 yaani najikuta naishiwa nguvu
Walio toa maelezo washaifanya kuwa manslaughter. Wameweka maneno ' kulikua na majibizano' atatokea shahidi mmoja mwenye njaa na aliyeahidiwa kitu na kusema, marehemu alikua anamkashifu mwamba na kumkejeli.Unafikiri kesi ya mauaji unaimaliza kirahisi, hapo lazima atatumia sana
Hela ndiyo atoke atauza Mali zake pia
Hapo labda ajaribu kuigeuza manslaughter akimaliza hapo ndiyo
Afanya mpango wa kuchomoka
All in all huyo jamaa ni ndezi tu
Ova
Unanijua mimi nani? Ndiko tumerudi.Tumerudi awamu ya nne kwa kishindo kikuu.
Ngoja sasa akanyee debe kwa kuona 7k kubwa sanaUna gari la zaidi ya mln 40
7000 tu inakupeleka jela...
Huyu jamaa ndezi kweli
Ova
Huyu akae ndani nitakuja kumtoa mwenyewe!Unanijua mimi nani? Ndiko tumerudi.
Atatoka lakini washkaji watamla waif Sana. Especially wale watakaokua wanamsindikiza Isanga kwenda kumuona ndezi.Ndezi tu huyo
Ova
Hatari Sana hiiNa washamba wengi sahv ndy wanamiliki silaha
Ova