Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Polisi Mbeya imetia aibu sana !Habari njema hii. Watu wema hufuatwa na watu muhimu bila hata ya tangazo la polisi kuwa eti...
Ni heshima pia kwa Mbeya , badala ya kuwaletea WanaMbeya vitisho vya helikopta zenye makombora , Sugu kaamua kuwaleta Wahisani .Hongera yake
Sababu kubwa ni msimamo wao wa kuwapigania wananchiMakamanda wa CHADEMA wanaheshimiwa sana ndani na nje ya nchi.
HakikaHeshima kubwa sana hii kwa Sugu na mkoa wa Mbeya. Hali ya demokrasi ni moja ya ajenda.
Sugu ni CIA?Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba siku ya leo Mkoa wa Mbeya ulibahatika kutembelewa na Balozi wa Marekani , Ambaye hakuwa na jambo jingine Mkoani humo , zaidi ya kukutana na Mwekezaji Mzalendo Bilionea Joseph Mbilinyi kwa Mazungumzo.
Bado Timu ya Balozi huyo haikuweka wazi kilichojadiliwa , wala timu ya Sugu , lakini tutawawekea hapa kila kitakachovuja kutoka kwenye mazungumzo hayo , Usiondoke JF
Kumbuka kwamba Balozi wa Marekani hatembelei eneo lolote bila ruksa kutoka Pentagon .
View attachment 2816001View attachment 2816002View attachment 2816004
Watu wenye heshima zao wanatembelewa na watu wanaoelewekaHeshima kubwa sana hii kwa Sugu na mkoa wa Mbeya. Hali ya demokrasi ni moja ya ajenda.
The whole TruthMakamanda wa CHADEMA wanaheshimiwa sana ndani na nje ya nchi.
Ngoja nimuulize , akijibu nitakuambiaSugu ni CIA?
Ujumbe kutoka PentagonKuwa wa kwanza kufahamu kwamba siku ya leo Mkoa wa Mbeya ulibahatika kutembelewa na Balozi wa Marekani , Ambaye hakuwa na jambo jingine Mkoani humo , zaidi ya kukutana na Mwekezaji Mzalendo Bilionea Joseph Mbilinyi kwa Mazungumzo.
Bado Timu ya Balozi huyo haikuweka wazi kilichojadiliwa , wala timu ya Sugu , lakini tutawawekea hapa kila kitakachovuja kutoka kwenye mazungumzo hayo , Usiondoke JF
Kumbuka kwamba Balozi wa Marekani hatembelei eneo lolote bila ruksa kutoka Pentagon .
View attachment 2816001View attachment 2816002View attachment 2816004
ndio hivyo yaaniUjumbe kutoka Pentagon
Asante kwa taarifa, kiukweli kutembelewa na a US Ambassador ni heshima kubwa!, hivyo Sugu yupo juu sana, ila sii kweli kuwa US Ambassador hawezi kutembelea eneo lolote bila ruhusa ya Pentagon, Pentagon ni Wizara ya ulinzi ya Marekani ambayo ina manage the US army, American missions zote na their interests zinaendeshwa na Foreign Office na kusimamiwa na State Department, na zinalindwa na US Marines, hivyo kila kinachofanyika ubalozini Foreign office na state Department wanakiona na kumonitor, hata wanaokatiza tuu barabarani na majirani wote ni well monitored 24/7.Kumbuka kwamba Balozi wa Marekani hatembelei eneo lolote bila ruksa kutoka Pentagon .
Utakuwa umelogwaAsante kwa taarifa, sii kweli kuwa US Ambassador bila ruhusa ya Pentagon, Pentagon ni Wizara ya ulinzi ya Marekani ambayo ina manage the US army, American missions zote na their interests zinalindwa na US Marines, hivyo US Ambassador hauendi mahali bila securty clearance ya the US marine, huyo Balozi ameweza kufika hapo kwa ruhusa ya MFA kupitia NV.
Mabalozi wote hawaruhusiwi kutembelea maeneo ambayo sio ya kidpkomasia vila kuomba ruhusa kwa maandishi kutoka MFA na kupewa kibali kupitia NV. Hivyo Balozi huyo ameweza kufika hapo kwa hisani ya kibali cha serikali ya CCM!.
P
Huchelewi kujichetua /kujizima dataAsante kwa taarifa, sii kweli kuwa US Ambassador hawezi kutembelea eneo lolote bila ruhusa ya Pentagon, Pentagon ni Wizara ya ulinzi ya Marekani ambayo ina manage the US army, American missions zote na their interests zinalindwa na US Marines, hivyo US Ambassador hauendi mahali bila securty clearance ya the US marine, na sio Pentagon, huyo Balozi ameweza kufika hapo kwa ruhusa ya MFA kupitia NV.
Mabalozi wote hawaruhusiwi kutembelea maeneo ambayo sio ya kidipkomasia bila kuomba ruhusa kwa maandishi kutoka MFA na kupewa kibali kupitia NV. Hivyo Balozi huyo ameweza kufika hapo kwa hisani ya kibali cha serikali ya CCM!.
P
Sio kwamba alikwenda desderia hotel kwajili ya malazi mkuu!?Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba siku ya leo Mkoa wa Mbeya ulibahatika kutembelewa na Balozi wa Marekani , Ambaye hakuwa na jambo jingine Mkoani humo , zaidi ya kukutana na Mwekezaji Mzalendo Bilionea Joseph Mbilinyi kwa Mazungumzo.
Bado Timu ya Balozi huyo haikuweka wazi kilichojadiliwa , wala timu ya Sugu , lakini tutawawekea hapa kila kitakachovuja kutoka kwenye mazungumzo hayo , Usiondoke JF
Kumbuka kwamba Balozi wa Marekani hatembelei eneo lolote bila ruksa kutoka Pentagon .
View attachment 2816001View attachment 2816002View attachment 2816004