Asante kwa taarifa, sii kweli kuwa US Ambassador hawezi kutembelea eneo lolote bila ruhusa ya Pentagon, Pentagon ni Wizara ya ulinzi ya Marekani ambayo ina manage the US army, American missions zote na their interests zinaendeshwa na Foreign Office na kusimamiwa na State Department, na zinalindwa na US Marines, hivyo kila kinachofanyika ubalozini Foreign office na state Department wanakiona na kumonitor, hata wanaokatiza tuu barabarani na majirani wote ni well monitored 24/7.
US Ambassador hauendi mahali bila securty clearance ya the US marine, na sio Pentagon, huyo Balozi ameweza kufika hapo kwa ruhusa ya MFA kupitia NV.
Mabalozi wote hawaruhusiwi kutembelea maeneo ambayo sio ya kidipkomasia bila kuomba ruhusa kwa maandishi kutoka MFA na kupewa kibali kupitia NV. Hivyo Balozi huyo ameweza kufika hapo kwa hisani ya kibali cha serikali ya CCM!.
P