Mbeya: Balozi Mpya wa Marekani Nchini Tanzania amtembelea Joseph Mbilinyi

Mbeya: Balozi Mpya wa Marekani Nchini Tanzania amtembelea Joseph Mbilinyi

Asante kwa taarifa, kiukweli kutembelewa na a US Ambassador ni heshima kubwa!, hivyo Sugu yupo juu sana, ila sii kweli kuwa US Ambassador hawezi kutembelea eneo lolote bila ruhusa ya Pentagon, Pentagon ni Wizara ya ulinzi ya Marekani ambayo ina manage the US army, American missions zote na their interests zinaendeshwa na Foreign Office na kusimamiwa na State Department, na zinalindwa na US Marines, hivyo kila kinachofanyika ubalozini Foreign office na state Department wanakiona na kumonitor, hata wanaokatiza tuu barabarani na majirani wote ni well monitored 24/7.
US Ambassador hauendi mahali bila securty clearance ya the US marine, na sio Pentagon, huyo Balozi ameweza kufika hapo kwa ruhusa ya MFA kupitia NV.

Mabalozi wote hawaruhusiwi kutembelea maeneo ambayo sio ya kidipkomasia bila kuomba ruhusa kwa maandishi kutoka MFA na kupewa kibali kupitia NV. Hivyo Balozi huyo ameweza kufika hapo kwa hisani ya kibali cha serikali ya CCM!.
P
Eti balozi wa marekani ameweza kufika hapo kwa hisani ya kibali cha serikali ya Ccm 😂😂😂,watanzania wote tutafika mbinguni tukiwa tumechoka sana yaani
 
Eti balozi wa marekani ameweza kufika hapo kwa hisani ya kibali cha serikali ya Ccm 😂😂😂,watanzania wote tutafika mbinguni tukiwa tumechoka sana yaani
No sio Balozi wa Marekani tuu, bali mabalozi wote hawaruhusiwi kujiendea popote kwenye nchi ya ugenini bila ruhusa kutoka kwa mwenyeji. Wakitaka kwenda popote, lazima watume NV, MFA, kuomba kibali, wapewe ruhusa kupitia NV ndipo Balozi asafiri deep interior.
P
 
Hip Hop Time na Mh Balozi

Screenshot_2023-11-17-21-32-00-1.png
 
Unaweza,ukawa sahihi lkn ikiwa,balozi aliomba ruhusa ya kumtembela sugu na wao wakakataa lazima ingeripotiwa,lkn pia wangeulizwa kwnn, kuna muda hata wao wanaruhusu mambo yafanyike ili kuziba mambo mengine
Sio ninaweza kuwa sahihi, bali huo ndio utaratibu, kwa mujibu wa The Vienna Convention. Wakiisha omba ruhusa, mwenyeji anajiridhisha kama hapo Balozi alipoomba kwenda ni salama, then wanamruhusu kwa kumpa kibali kupitia NV.
Mwenyeji akiona kuna any security risks, wanamnyima kibali na haendi!.
Hivyo Balozi wa Marekani ameweza kumtembelea Sugu kwa hisani ya Serikali ya JMT kupitia MFA.
P
 
Hawa ndo Watoto wa Mjini ...Mambele Kitambo sana wacha wale wa mbeleko ya Mama oooh Kilwa rodi oooh Kariakoooo
Makalla kazaliwa Kilwa road Police enzi za barabara ya vumbi lakini anadai kazaliwa mjini ! ni kama wale wenye nyumba za udongo Kariakoo wanaojiita Born here here
 
Back
Top Bottom