Mbeya: Balozi Mpya wa Marekani Nchini Tanzania amtembelea Joseph Mbilinyi

Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba siku ya leo Mkoa wa Mbeya ulibahatika kutembelewa na Balozi wa Marekani , Ambaye hakuwa na jambo jingine Mkoani humo , zaidi ya kukutana na Mwekezaji Mzalendo Bilionea Joseph Mbilinyi kwa Mazungumzo.

Bado Timu ya Balozi huyo haikuweka wazi kilichojadiliwa , wala timu ya Sugu , lakini tutawawekea hapa kila kitakachovuja kutoka kwenye mazungumzo hayo , Usiondoke JF

Kumbuka kwamba Balozi wa Marekani hatembelei eneo lolote bila ruksa kutoka Ikulu ya Pentagon (White House)

View attachment 2816001View attachment 2816002View attachment 2816004

Pichani ni Bilionea Sugu akisisitiza jambo kwa umakini Mkubwa , huku balozi huyo akizingatia kwa kiwango cha Juu
Mr. Two proud a.k.a Jongwe a.k.a Rais wa Mbeya a.k.a Sugu
 
what's up ma men? Sugu anajua kutema slang?
Kwanini asijue wakati kaishi usa,scandinavia,UK
Siyo siasa tu watu wamevutiwa na maisha yake ya uharakati...kutoka zero mpk hapo alipo
Huwezi fananisha na watoto wa vigogo baba zao wao wanakwapua na watoto watumia pesa za ukwapuaji

Ova
 
ndiyo maana nchi kuwa huru kwelin kweli ni safari ndefu.
kama balozi anaweza kumtembelea mtu binafsi tena mwanasiasa unategemea nini? kwnye uchaguzi lazima kuna wafadhli.
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba siku ya leo Mkoa wa Mbeya ulibahatika kutembelewa na Balozi wa Marekani , Ambaye hakuwa na jambo jingine Mkoani humo , zaidi ya kukutana na Mwekezaji Mzalendo Bilionea Joseph Mbilinyi kwa Mazungumzo.

Bado Timu ya Balozi huyo haikuweka wazi kilichojadiliwa , wala timu ya Sugu , lakini tutawawekea hapa kila kitakachovuja kutoka kwenye mazungumzo hayo , Usiondoke JF

Kumbuka kwamba Balozi wa Marekani hatembelei eneo lolote bila ruksa kutoka Ikulu ya Pentagon (White House)

View attachment 2816001View attachment 2816002View attachment 2816004

Pichani ni Bilionea Sugu akisisitiza jambo kwa umakini Mkubwa , huku balozi huyo akizingatia kwa kiwango cha Juu
ni naniiiiii? suguuuuuuuuu...... sugu moto chini sugu moto chini suguuuuuuuu
 
Asante kwa taarifa, sii kweli kuwa US Ambassador hawezi kutembelea eneo lolote bila ruhusa ya Pentagon, Pentagon ni Wizara ya ulinzi ya Marekani ambayo ina manage the US army, American missions zote na their interests zinaendeshwa na Foreign Office na kusimamiwa na State Department, na zinalindwa na US Marines, hivyo kila kinachofanyika ubalozini Foreign office na state Department wanakiona na kumonitor, hata wanaokatiza tuu barabarani na majirani wote ni well monitored 24/7.
US Ambassador hauendi mahali bila securty clearance ya the US marine, na sio Pentagon, huyo Balozi ameweza kufika hapo kwa ruhusa ya MFA kupitia NV.

Mabalozi wote hawaruhusiwi kutembelea maeneo ambayo sio ya kidipkomasia bila kuomba ruhusa kwa maandishi kutoka MFA na kupewa kibali kupitia NV. Hivyo Balozi huyo ameweza kufika hapo kwa hisani ya kibali cha serikali ya CCM!.
P
hahahaa bro we ni mwelewa sana wa vitu hapo erythrocyte atabisha ulivyoweka tu CCM huyo ni msifia abubakar
 
Asante kwa taarifa, sii kweli kuwa US Ambassador hawezi kutembelea eneo lolote bila ruhusa ya Pentagon, Pentagon ni Wizara ya ulinzi ya Marekani ambayo ina manage the US army, American missions zote na their interests zinaendeshwa na Foreign Office na kusimamiwa na State Department, na zinalindwa na US Marines, hivyo kila kinachofanyika ubalozini Foreign office na state Department wanakiona na kumonitor, hata wanaokatiza tuu barabarani na majirani wote ni well monitored 24/7.
US Ambassador hauendi mahali bila securty clearance ya the US marine, na sio Pentagon, huyo Balozi ameweza kufika hapo kwa ruhusa ya MFA kupitia NV.

Mabalozi wote hawaruhusiwi kutembelea maeneo ambayo sio ya kidipkomasia bila kuomba ruhusa kwa maandishi kutoka MFA na kupewa kibali kupitia NV. Hivyo Balozi huyo ameweza kufika hapo kwa hisani ya kibali cha serikali ya CCM!.
P
Ndo maana ulipata kura 1, yaan wee babu kwa kuisifia CCM na bado wanakuchinjilia mbaliiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom