Serikali ya JMT ni mali ya Watanzania ila kwa sasa imeshikwa na CCM hivyo kiutendaji kila kinachofanyika sasa ni serikali ya CCM. Kama ilivyo kwa mmiliki wa gari, akampa dereva, chochote kinachotokea kwenye uendeshaji wa gari lake, au ajali, mwendo kasi, kuharibika, responsible ni dereva na sio mmiliki, ila kwenye kulipia chochote hadi fines ni mmiliki, na gari likibeba nyara za serikali, likishikwa ni linataifishwa anayekula hasara ni mmiliki, hivyo ni muhimu kuchagua dereva makini.
Kwa nchi yetu Tanzania, it's very unfortunately hatuna dereva mwingine yeyote isipokuwa dereva huyu aliyepo is the one and only!.
P