Mbeya: Balozi Mpya wa Marekani Nchini Tanzania amtembelea Joseph Mbilinyi

Mbeya: Balozi Mpya wa Marekani Nchini Tanzania amtembelea Joseph Mbilinyi

Asante kwa taarifa, sii kweli kuwa US Ambassador hawezi kutembelea eneo lolote bila ruhusa ya Pentagon, Pentagon ni Wizara ya ulinzi ya Marekani ambayo ina manage the US army, American missions zote na their interests zinaendeshwa na Foreign Office na kusimamiwa na State Department, na zinalindwa na US Marines, hivyo kila kinachofanyika ubalozini Foreign office na state Department wanakiona na kumonitor, hata wanaokatiza tuu barabarani na majirani wote ni well monitored 24/7.
US Ambassador hauendi mahali bila securty clearance ya the US marine, na sio Pentagon, huyo Balozi ameweza kufika hapo kwa ruhusa ya MFA kupitia NV.

Mabalozi wote hawaruhusiwi kutembelea maeneo ambayo sio ya kidipkomasia bila kuomba ruhusa kwa maandishi kutoka MFA na kupewa kibali kupitia NV. Hivyo Balozi huyo ameweza kufika hapo kwa hisani ya kibali cha serikali ya CCM!.
P
Wazilankende mna mambo sanaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji114][emoji114][emoji114][emoji114]
 
Serikali ya JMT ni mali ya Watanzania ila kwa sasa imeshikwa na CCM hivyo kiutendaji kila kinachofanyika sasa ni serikali ya CCM. Kama ilivyo kwa mmiliki wa gari, akampa dereva, chochote kinachotokea kwenye uendeshaji wa gari lake, au ajali, mwendo kasi, kuharibika, responsible ni dereva na sio mmiliki, ila kwenye kulipia chochote hadi fines ni mmiliki, na gari likibeba nyara za serikali, likishikwa ni linataifishwa anayekula hasara ni mmiliki, hivyo ni muhimu kuchagua dereva makini.

Kwa nchi yetu Tanzania, it's very unfortunately hatuna dereva mwingine yeyote isipokuwa dereva huyu aliyepo is the one and only!.

P
Mkuu unateseka ukiwa wapi?
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba siku ya leo Mkoa wa Mbeya ulibahatika kutembelewa na Balozi wa Marekani , Ambaye hakuwa na jambo jingine Mkoani humo , zaidi ya kukutana na Mwekezaji Mzalendo Bilionea Joseph Mbilinyi kwa Mazungumzo.

Bado Timu ya Balozi huyo haikuweka wazi kilichojadiliwa , wala timu ya Sugu , lakini tutawawekea hapa kila kitakachovuja kutoka kwenye mazungumzo hayo , Usiondoke JF

Kumbuka kwamba Balozi wa Marekani hatembelei eneo lolote bila ruksa kutoka Ikulu ya Pentagon (White House)

View attachment 2816001View attachment 2816002View attachment 2816004

Pichani ni Bilionea Sugu akisisitiza jambo kwa umakini Mkubwa , huku balozi huyo akizingatia kwa kiwango cha Juu
Ikulu ya Pentagon? Wewe chawa wa Mbowe kuna mambo mengine unaweza kuingia tu google ukafahamu.
 
Mazingira mazuri ya demokrasia na amani chini ya Mama Samia yamesaidia Sugu kupata huo ugeni. Ni jambo la kawaida sana mtu kutembelewa na ugeni kama huo. HAKUNA KITU CHA KUSHANGAA HAPO
 
Kwa ninavyowajua Chadema, Sugu anaweza kutumika kuhujumu mambo flani flani nchini na akajisifu kwa kutumiwa na waamerika ...

Mmarekani hawezi kua na agenda ya kumnufaisha mtu wa dunia ya tatu(take it from me)

..wapinzani wa Tz hawana nguvu na ushawishi wa kuweza kutumika kuhujumu nchi yetu.

..mabeberu wakitaka kutuhujumu watawatumia Ccm na serikali yao ambao wamehodhi madaraka na mifumo yote ya kiutawala na kidola hapa nchini.

..mpaka sasa hivi tumehujumiwa ktk mambo wangapi? Je, kuna hata moja ambalo lina mkono wa watu wa upinzani?

..kuna mpinzani ameshiriki kuuza migodi yetu? Kuna mpinzani ameuza mbuga zetu? Kuna mpinzani ameuza bandari? Kila hujuma dhidi ya nchi yetu imewezeshwa na Ccm.
 
Serikali ya JMT ni mali ya Watanzania ila kwa sasa imeshikwa na CCM hivyo kiutendaji kila kinachofanyika sasa ni serikali ya CCM. Kama ilivyo kwa mmiliki wa gari, akampa dereva, chochote kinachotokea kwenye uendeshaji wa gari lake, au ajali, mwendo kasi, kuharibika, responsible ni dereva na sio mmiliki, ila kwenye kulipia chochote hadi fines ni mmiliki, na gari likibeba nyara za serikali, likishikwa ni linataifishwa anayekula hasara ni mmiliki, hivyo ni muhimu kuchagua dereva makini.

Kwa nchi yetu Tanzania, it's very unfortunately hatuna dereva mwingine yeyote isipokuwa dereva huyu aliyepo is the one and only!.

P
Sometime huwa unaandika point ila kwa mafumbo, Umesema hatuna dereva makini ni wajibu wetu kuchagua dereva makini.
Ngoja chawa wa bi mkubwa waje sasa.
 
Asante kwa taarifa, kiukweli kutembelewa na a US Ambassador ni heshima kubwa!, hivyo Sugu yupo juu sana, ila sii kweli kuwa US Ambassador hawezi kutembelea eneo lolote bila ruhusa ya Pentagon, Pentagon ni Wizara ya ulinzi ya Marekani ambayo ina manage the US army, American missions zote na their interests zinaendeshwa na Foreign Office na kusimamiwa na State Department, na zinalindwa na US Marines, hivyo kila kinachofanyika ubalozini Foreign office na state Department wanakiona na kumonitor, hata wanaokatiza tuu barabarani na majirani wote ni well monitored 24/7.
US Ambassador hauendi mahali bila securty clearance ya the US marine, na sio Pentagon, huyo Balozi ameweza kufika hapo kwa ruhusa ya MFA kupitia NV.

Mabalozi wote hawaruhusiwi kutembelea maeneo ambayo sio ya kidipkomasia bila kuomba ruhusa kwa maandishi kutoka MFA na kupewa kibali kupitia NV. Hivyo Balozi huyo ameweza kufika hapo kwa hisani ya kibali cha serikali ya CCM!.
P
Unaweza,ukawa sahihi lkn ikiwa,balozi aliomba ruhusa ya kumtembela sugu na wao wakakataa lazima ingeripotiwa,lkn pia wangeulizwa kwnn, kuna muda hata wao wanaruhusu mambo yafanyike ili kuziba mambo mengine
 
Back
Top Bottom