Mbeya: Balozi Mpya wa Marekani Nchini Tanzania amtembelea Joseph Mbilinyi

Mbeya: Balozi Mpya wa Marekani Nchini Tanzania amtembelea Joseph Mbilinyi

Serikali ya JMT ni mali ya Watanzania ila kwa sasa imeshikwa na CCM hivyo kiutendaji kila kinachofanyika sasa ni serikali ya CCM. Kama ilivyo kwa mmiliki wa gari, akampa dereva, chochote kinachotokea kwenye uendeshaji wa gari lake, au ajali, mwendo kasi, kuharibika, responsible ni dereva na sio mmiliki, ila kwenye kulipia chochote hadi fines ni mmiliki, na gari likibeba nyara za serikali, likishikwa ni linataifishwa anayekula hasara ni mmiliki, hivyo ni muhimu kuchagua dereva makini.

Kwa nchi yetu Tanzania, it's very unfortunately hatuna dereva mwingine yeyote isipokuwa dereva huyu aliyepo is the one and only!.

P
Nimecheka kwa nguvu, kweli nimeamini kwa sasa bro umezeeka.
 
USA huwa wako busy na maslahi yao.

Ukiona wana urafiki na wewe huku dunia ya tatu tambua wewe unaweza kuwa sehemu ya wao kupata maslahi yao.
 
Wana Ajenda gani? Yaani mwakilishi wa state kubwa kama US amtembelee Sugu Mbeya Kwa umuhimu upi?Nini kipo nyuma ya pazia?. Balozi anachokuja kuzungumza na wewe ni kwamba ni nchi hiyo inazungumza na wewe Sasa Sugu Ina maana anazungumza na Serikali ya Biden kupitia Kwa Balozi wake.Na wasiwasi Kuna maagent wengi sana wa CIA nchi hii hao mapolitician.Ni Mawazo yangu tu wakubwa msichukulie Seriously.
Muulize Mwashambwa
 
Asante kwa taarifa, sii kweli kuwa US Ambassador hawezi kutembelea eneo lolote bila ruhusa ya Pentagon, Pentagon ni Wizara ya ulinzi ya Marekani ambayo ina manage the US army, American missions zote na their interests zinaendeshwa na Foreign Office na kusimamiwa na State Department, na zinalindwa na US Marines, hivyo kila kinachofanyika ubalozini Foreign office na state Department wanakiona na kumonitor, hata wanaokatiza tuu barabarani na majirani wote ni well monitored 24/7.
US Ambassador hauendi mahali bila securty clearance ya the US marine, na sio Pentagon, huyo Balozi ameweza kufika hapo kwa ruhusa ya MFA kupitia NV.

Mabalozi wote hawaruhusiwi kutembelea maeneo ambayo sio ya kidipkomasia bila kuomba ruhusa kwa maandishi kutoka MFA na kupewa kibali kupitia NV. Hivyo Balozi huyo ameweza kufika hapo kwa hisani ya kibali cha serikali ya CCM!.
P
Nikionaga CCM tu uwa nachafukwa ghafla,ila umeeleza vyema mkuu P.
 
Iringa ni shamba la Ufalme wa Uingereza. Eneo kubwa lipo kwenye himaya yao. Mbeya wanagombani Wafaransa Wamarekani na Wengine...panawafaa kwa mambo yao!

Hata hivyo Maliasili yanayopatikana Mbeya yanaenda ku revolutionize Viwanda vya Chuma, Umeme, na Nyukilia Duniani. Mavituz yanapatikana huko, hayapatikani popote Duniani. Hivyo basi, kama tulivyo tambulishwa "Ati Billionea" ujue ina maana Biashara inafanyika huko...na ukumbuke huyu bwana ana baraka kutoka juu kabisa. ....Nachelea kusema inawezekana ni CEO wa ma CEO?
Kwani lini mmeuza hii nchi ?
 
Back
Top Bottom