Mbeya: Balozi Mpya wa Marekani Nchini Tanzania amtembelea Joseph Mbilinyi

Eti balozi wa marekani ameweza kufika hapo kwa hisani ya kibali cha serikali ya Ccm 😂😂😂,watanzania wote tutafika mbinguni tukiwa tumechoka sana yaani
 
Eti balozi wa marekani ameweza kufika hapo kwa hisani ya kibali cha serikali ya Ccm 😂😂😂,watanzania wote tutafika mbinguni tukiwa tumechoka sana yaani
No sio Balozi wa Marekani tuu, bali mabalozi wote hawaruhusiwi kujiendea popote kwenye nchi ya ugenini bila ruhusa kutoka kwa mwenyeji. Wakitaka kwenda popote, lazima watume NV, MFA, kuomba kibali, wapewe ruhusa kupitia NV ndipo Balozi asafiri deep interior.
P
 
Unaweza,ukawa sahihi lkn ikiwa,balozi aliomba ruhusa ya kumtembela sugu na wao wakakataa lazima ingeripotiwa,lkn pia wangeulizwa kwnn, kuna muda hata wao wanaruhusu mambo yafanyike ili kuziba mambo mengine
Sio ninaweza kuwa sahihi, bali huo ndio utaratibu, kwa mujibu wa The Vienna Convention. Wakiisha omba ruhusa, mwenyeji anajiridhisha kama hapo Balozi alipoomba kwenda ni salama, then wanamruhusu kwa kumpa kibali kupitia NV.
Mwenyeji akiona kuna any security risks, wanamnyima kibali na haendi!.
Hivyo Balozi wa Marekani ameweza kumtembelea Sugu kwa hisani ya Serikali ya JMT kupitia MFA.
P
 
Hawa ndo Watoto wa Mjini ...Mambele Kitambo sana wacha wale wa mbeleko ya Mama oooh Kilwa rodi oooh Kariakoooo
Makalla kazaliwa Kilwa road Police enzi za barabara ya vumbi lakini anadai kazaliwa mjini ! ni kama wale wenye nyumba za udongo Kariakoo wanaojiita Born here here
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…