Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Safi sana ikiwezekana akampigie na kampeni ya Uwenyekiti wa kanda ya Nyasa ili ashinde na kupita kwa kishindo.
Kasindikizwa Balozi, Sugu yeye alikuwa tu Mbeya anasubiri mgeniKwahiyo alisindikizwa na escort ya Polisi
Sugu bhana 🐼
Ni mwekezaji tuThe agent.
😆😆😆😆😆Aisee! Usikute hiyo hotel ni ya huyo balozi wa US au ya Biden ndiyo maana kila mwezi anaenda (kukagua mapato)
Roho inakuumaaaSafi sana ikiwezekana akampigie na kampeni ya Uwenyekiti wa kanda ya Nyasa ili ashinde na kupita kwa kishindo.
Tunafanyia kazi Ushauri wakoSafi sana ikiwezekana akampigie na kampeni ya Uwenyekiti wa kanda ya Nyasa ili ashinde na kupita kwa kishindo.
Iniume kwa ajili ya nini ndugu yangu mtanzania uliyejaa roho mbaya kama shetani.Roho inakuumaaa
Huyu Jamaa ana ni i mbona Mabalozi wanamfata sana.Taarifa Ikufikie popote ulipo, kwamba, Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania, David Concor amefika Hotel Desderia ya Jijini Mbeya na kukutana na Bilionea Joseph Mbilinyi kwa Mazungumzo
Habari zilizovuja zinadokeza kwamba Bilionea Mbilinyi na Balozi huyo wamezungumza kuhusu Hali ya Kisiasa Nchini Tanzani(Katiba, Tume Huru na Uchaguzi) pamoja na habari za Kilimo cha biashara (commercial farming), Japo ni mapema sana kujua malengo hasa ya kikao hicho kabambe cha Kimataifa
Usiondoke JF
View attachment 2996313View attachment 2996314View attachment 2996315View attachment 2996316View attachment 2996318
HahahRoho inakuumaaa
Hata mimi naanza kuwaza hivyoThe agent.
Mabalozi wa EU na Marekani wanapishana tu mlangoni kwa Jogwe.Taarifa Ikufikie popote ulipo, kwamba, Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania, David Concor amefika Hotel Desderia ya Jijini Mbeya na kukutana na Bilionea Joseph Mbilinyi kwa Mazungumzo
Habari zilizovuja zinadokeza kwamba Bilionea Mbilinyi na Balozi huyo wamezungumza kuhusu Hali ya Kisiasa Nchini Tanzani(Katiba, Tume Huru na Uchaguzi) pamoja na habari za Kilimo cha biashara (commercial farming), Japo ni mapema sana kujua malengo hasa ya kikao hicho kabambe cha Kimataifa
Usiondoke JF
View attachment 2996313View attachment 2996314View attachment 2996315View attachment 2996316View attachment 2996318
Kinana anakutana na balozi wa chinaHuyu Jamaa ana ni i mbona Mabalozi wanamfata sana.
Ana tembelewa na Mabalozi wengi kuliko Kinana