Mbeya: Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania David Concar, akutana na Joseph Mbilinyi

Kama unadhani ni rahisi kiasi hicho, jaribu na wewe, mwalike hata msaidizi wa balozi wa US, halafu tuletee taarifa.
Siko kwenye issue ambazo zinahusika na masuala ya kijamii, siasa au ya aina hiyo, I assure you, ni jambo dogo na rahisi mno!, tuna appointment yako kwa email for US, AMB, Please contact DRSACS@state.gov with any questions/request.
Endapo kama una la msingi ufanye arrangement naye!
 
Kwa sasa mjadala mkubwa kwa US na mataifa ya Ulaya, ni kweli Serikali ya Tanzania imeamua kufuata misingi ya demokrasia, utawala wa sheria na katiba, na kuheshimu uhuru wa maoni na uhuru wa vyombo vya habari?
Bila shaka
 
Siko kwenye issue ambazo zinahusika na masuala ya kijamii, siasa au ya aina hiyo, I assure you, ni jambo dogo na rahisi mno!, tuna appointment yako kwa email for US, AMB, Please contact DRSACS@state.gov with any questions/request.
Endapo kama una la msingi ufanye arrangement naye!
Mwambie Kigwangwala naye afanye hivyo
 
Taarifa Ikufikie popote ulipo, kwamba, Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania, David Concor amefika Hotel Desderia ya Jijini Mbeya na kukutana na Bilionea Joseph Mbilinyi kwa Mazungumzo.

Habari zilizovuja zinadokeza kwamba Bilionea Mbilinyi na Balozi huyo wamezungumza kuhusu Hali ya Kisiasa Nchini Tanzani(Katiba, Tume Huru na Uchaguzi) pamoja na habari za Kilimo cha biashara (commercial farming), Japo ni mapema sana kujua malengo hasa ya kikao hicho kabambe cha Kimataifa.

Usiondoke JF
Hivi unaamini Mbilinyi anajitambua kiasi cha kuwa na mazungumzo ya maana na Balozi wa nchi kama Uingereza?
Kama wewe ni mzoefu na mambo ya wikileak, utafahamu kwamba wanajua wanachokifanya.
Wanafahamu kila mbunge, na waziri na uwezo wake, na upuuzi wake. Wakati mwingine wanahitaji upuuzi wa mtu ili wafanikishe mambo ya nchi zao.
 
Wivu!
 
Taarifa Ikufikie popote ulipo, kwamba, Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania, David Concor amefika Hotel Desderia ya Jijini Mbeya na kukutana na Bilionea Joseph Mbilinyi kwa Mazungumzo.

Habari zilizovuja zinadokeza kwamba Bilionea Mbilinyi na Balozi huyo wamezungumza kuhusu Hali ya Kisiasa Nchini Tanzani(Katiba, Tume Huru na Uchaguzi) pamoja na habari za Kilimo cha biashara (commercial farming), Japo ni mapema sana kujua malengo hasa ya kikao hicho kabambe cha Kimataifa.

Usiondoke JF
sasa hao wanajadiri hali ya kisiasa nchini inawahusu nini? wacha vigogo wa ccm wajadili masuala ya nchi
 
Back
Top Bottom