PreGE2025 Mbeya: Chifu Mwanshinga akemea mipango ya kuzuia uchaguzi 'No reforms No election' amuombea Rais Samia apate ushindi wa kishindo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Chifu wa Mkoa wa Mbeya, Rocketi Masoko Mwanshinga, amewataka wananchi wote wa mkoa huo kutumia haki yao ya kikatiba kujiandikisha na kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa 2025.

Chifu Mwanshinga amekemea vikali wale wote wanaotaka kuwazuia wananchi kushiriki katika mchakato wa uchaguzi, akisema Mungu atawapa usingizi na hawataweza kuzuia uchaguzi kufanyika.

Amesisitiza kuwa kila raia ana haki ya kupiga kura na kupigiwa kura bila hofu wala vizuizi vyovyote. Aidha, Chifu Mwanshinga amemuombea Rais Samia Suluhu Hassan apate ushindi wa kishindo, akisema kuwa uongozi wake umekuwa wa neema kwa Watanzania.

Amewataka wakazi wa Mbeya kuungana kwa mshikamano na kuhakikisha wanatekeleza wajibu wao wa kidemokrasia ili kuchagua viongozi watakaosukuma mbele maendeleo ya Tanzania.

Tangu lini hilo zee lina akili timamu? Ni chawa moja la CCM, wanambeya wanalipuuza
 
Chifu wa Mkoa wa Mbeya, Rocketi Masoko Mwanshinga, amewataka wananchi wote wa mkoa huo kutumia haki yao ya kikatiba kujiandikisha na kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa 2025.

Chifu Mwanshinga amekemea vikali wale wote wanaotaka kuwazuia wananchi kushiriki katika mchakato wa uchaguzi, akisema Mungu atawapa usingizi na hawataweza kuzuia uchaguzi kufanyika.

Amesisitiza kuwa kila raia ana haki ya kupiga kura na kupigiwa kura bila hofu wala vizuizi vyovyote. Aidha, Chifu Mwanshinga amemuombea Rais Samia Suluhu Hassan apate ushindi wa kishindo, akisema kuwa uongozi wake umekuwa wa neema kwa Watanzania.

Amewataka wakazi wa Mbeya kuungana kwa mshikamano na kuhakikisha wanatekeleza wajibu wao wa kidemokrasia ili kuchagua viongozi watakaosukuma mbele maendeleo ya Tanzania.

View attachment 3278469
haha siasa hizi
 
mpaka machifu wanawashangaa chadema ndo ujue chadema sasahivi inaongozwa na chizi
 
Watu wengine bhana yeye kama nani machifu zamani siyo sasa kila mtu ana akili zake
 
Hawa ndio watamfanya Samia akose kura nyingi hasa za vijana ambao wengi wao hawataki kuelekezwa ukimwelekeza ndio unaharibu kabisa
 
Chifu wa Mkoa wa Mbeya, Rocketi Masoko Mwanshinga, amewataka wananchi wote wa mkoa huo kutumia haki yao ya kikatiba kujiandikisha na kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa 2025.

Chifu Mwanshinga amekemea vikali wale wote wanaotaka kuwazuia wananchi kushiriki katika mchakato wa uchaguzi, akisema Mungu atawapa usingizi na hawataweza kuzuia uchaguzi kufanyika.

Amesisitiza kuwa kila raia ana haki ya kupiga kura na kupigiwa kura bila hofu wala vizuizi vyovyote. Aidha, Chifu Mwanshinga amemuombea Rais Samia Suluhu Hassan apate ushindi wa kishindo, akisema kuwa uongozi wake umekuwa wa neema kwa Watanzania.

Amewataka wakazi wa Mbeya kuungana kwa mshikamano na kuhakikisha wanatekeleza wajibu wao wa kidemokrasia ili kuchagua viongozi watakaosukuma mbele maendeleo ya Tanzania.

View attachment 3278469
Chifu njaa kali hahahaa
 
Uyo sio atakuwa ni Chief Cooker

Nchi inahitajika kuwa na maendeleo ikiwa kiongozi atakae pita atachaguliwa kwa maamuzi ya Wananchi

Ila ikiwa kwa ubabe wa CCM tutabaki nyuma mno
 
Chifu wa Mkoa wa Mbeya, Rocketi Masoko Mwanshinga, amewataka wananchi wote wa mkoa huo kutumia haki yao ya kikatiba kujiandikisha na kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa 2025.

Chifu Mwanshinga amekemea vikali wale wote wanaotaka kuwazuia wananchi kushiriki katika mchakato wa uchaguzi, akisema Mungu atawapa usingizi na hawataweza kuzuia uchaguzi kufanyika.

Amesisitiza kuwa kila raia ana haki ya kupiga kura na kupigiwa kura bila hofu wala vizuizi vyovyote. Aidha, Chifu Mwanshinga amemuombea Rais Samia Suluhu Hassan apate ushindi wa kishindo, akisema kuwa uongozi wake umekuwa wa neema kwa Watanzania.

Amewataka wakazi wa Mbeya kuungana kwa mshikamano na kuhakikisha wanatekeleza wajibu wao wa kidemokrasia ili kuchagua viongozi watakaosukuma mbele maendeleo ya Tanzania.

View attachment 3278469
Chifu Rasta huwa namkubali sana.
 
Modern era society, jamii na vizazi vipya havi endani na machifu au uchifu. They no longer needed kutokana na mahitaji ya jamii ya sasa

I dont know why wanapewa relevancy
Huwa wanavinguvu fulani vya kuleta wapiga kura. Huko nchi kama Nigeria wamejilimbikizia mali kibao kwa kuuza wananchi wao kwa watawala. Ni watu wa ovyo sana.
 
Back
Top Bottom