The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
haha siasa hiziChifu wa Mkoa wa Mbeya, Rocketi Masoko Mwanshinga, amewataka wananchi wote wa mkoa huo kutumia haki yao ya kikatiba kujiandikisha na kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa 2025.
Chifu Mwanshinga amekemea vikali wale wote wanaotaka kuwazuia wananchi kushiriki katika mchakato wa uchaguzi, akisema Mungu atawapa usingizi na hawataweza kuzuia uchaguzi kufanyika.
Amesisitiza kuwa kila raia ana haki ya kupiga kura na kupigiwa kura bila hofu wala vizuizi vyovyote. Aidha, Chifu Mwanshinga amemuombea Rais Samia Suluhu Hassan apate ushindi wa kishindo, akisema kuwa uongozi wake umekuwa wa neema kwa Watanzania.
Amewataka wakazi wa Mbeya kuungana kwa mshikamano na kuhakikisha wanatekeleza wajibu wao wa kidemokrasia ili kuchagua viongozi watakaosukuma mbele maendeleo ya Tanzania.
View attachment 3278469
Chifu njaa kali hahahaaChifu wa Mkoa wa Mbeya, Rocketi Masoko Mwanshinga, amewataka wananchi wote wa mkoa huo kutumia haki yao ya kikatiba kujiandikisha na kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa 2025.
Chifu Mwanshinga amekemea vikali wale wote wanaotaka kuwazuia wananchi kushiriki katika mchakato wa uchaguzi, akisema Mungu atawapa usingizi na hawataweza kuzuia uchaguzi kufanyika.
Amesisitiza kuwa kila raia ana haki ya kupiga kura na kupigiwa kura bila hofu wala vizuizi vyovyote. Aidha, Chifu Mwanshinga amemuombea Rais Samia Suluhu Hassan apate ushindi wa kishindo, akisema kuwa uongozi wake umekuwa wa neema kwa Watanzania.
Amewataka wakazi wa Mbeya kuungana kwa mshikamano na kuhakikisha wanatekeleza wajibu wao wa kidemokrasia ili kuchagua viongozi watakaosukuma mbele maendeleo ya Tanzania.
View attachment 3278469
Njaa babaWasafwa wajinga sana.
Uyo sio atakuwa ni Chief CookerChifu wa Mkoa wa Mbeya, Rocketi Masoko Mwanshinga, amewataka wananchi wote wa mkoa huo kutumia haki yao ya kikatiba kujiandikisha na kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa 2025.
Chifu Mwanshinga amekemea vikali wale wote wanaotaka kuwazuia wananchi kushiriki katika mchakato wa uchaguzi, akisema Mungu atawapa usingizi na hawataweza kuzuia uchaguzi kufanyika.
Amesisitiza kuwa kila raia ana haki ya kupiga kura na kupigiwa kura bila hofu wala vizuizi vyovyote. Aidha, Chifu Mwanshinga amemuombea Rais Samia Suluhu Hassan apate ushindi wa kishindo, akisema kuwa uongozi wake umekuwa wa neema kwa Watanzania.
Amewataka wakazi wa Mbeya kuungana kwa mshikamano na kuhakikisha wanatekeleza wajibu wao wa kidemokrasia ili kuchagua viongozi watakaosukuma mbele maendeleo ya Tanzania.
View attachment 3278469
Modern era society, jamii na vizazi vipya havi endani na machifu au uchifu. They no longer needed kutokana na mahitaji ya jamii ya sasaKitu kizuri alifanya Nyerere ni kuwahasi machifu. Nchi nyingi zinataabika na hawa machifu.
Hakuna mtanzania asie na njaa, ila wasafwa ni wajinga wa wakati wote.Njaa baba
Tutake radhi Wasafwa. Ni Huyo Mwashinga tu.Wasafwa wajinga sana.
Chifu Rasta huwa namkubali sana.Chifu wa Mkoa wa Mbeya, Rocketi Masoko Mwanshinga, amewataka wananchi wote wa mkoa huo kutumia haki yao ya kikatiba kujiandikisha na kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa 2025.
Chifu Mwanshinga amekemea vikali wale wote wanaotaka kuwazuia wananchi kushiriki katika mchakato wa uchaguzi, akisema Mungu atawapa usingizi na hawataweza kuzuia uchaguzi kufanyika.
Amesisitiza kuwa kila raia ana haki ya kupiga kura na kupigiwa kura bila hofu wala vizuizi vyovyote. Aidha, Chifu Mwanshinga amemuombea Rais Samia Suluhu Hassan apate ushindi wa kishindo, akisema kuwa uongozi wake umekuwa wa neema kwa Watanzania.
Amewataka wakazi wa Mbeya kuungana kwa mshikamano na kuhakikisha wanatekeleza wajibu wao wa kidemokrasia ili kuchagua viongozi watakaosukuma mbele maendeleo ya Tanzania.
View attachment 3278469
Huwa wanavinguvu fulani vya kuleta wapiga kura. Huko nchi kama Nigeria wamejilimbikizia mali kibao kwa kuuza wananchi wao kwa watawala. Ni watu wa ovyo sana.Modern era society, jamii na vizazi vipya havi endani na machifu au uchifu. They no longer needed kutokana na mahitaji ya jamii ya sasa
I dont know why wanapewa relevancy
Naona ameongea busara.Tujue ni maoni yake au anawakilisha wana Mbeya