Mbeya City Vs Simba Sports Club: Mbeya City yalala nyumbani kwa goli moja dhidi ya Simba

Mbeya City Vs Simba Sports Club: Mbeya City yalala nyumbani kwa goli moja dhidi ya Simba

simba-raha.jpg
yanga mtoto.jpg

UZURI YA WATOTO HAWAFICHI HISIA ZAO!
 
Mpira wa adhabu kuelekea Mbeya City 43'

... Unapigwa pale laa laa, mpira unatoa nje
 
Wakati wowote mpira utakuwa mapumziko

... Naam mpira ni mapumziko Mbeya City 0-1 Simba SC
 
45' Mpira imeanza kipindi cha pili

.. Hakuna mabadiliko kwa wachezaji pande zote.
 
Sijui nishabikie ipi mbeya city team ya nyumbani na Simba S C ndiyo chama langu
 
Back
Top Bottom