Ya kweli hayaFT Azam 1-1 Mbeya City
Penati Azam 3-4 Mbeya City
Unataka Yanga itolewe ili upate mpenyo?Huu kweli ni mwaka wa ubaya ubwela.
Azam ametolewa kwa penati na Mbeya City katika mashindano ya Shirikisho la CRDB Cup. Tukumbuke kwamba Mbeya City inacheza katika ligi daraja la kwanza.
Timu hizo zilimaliza mchezo kwa kufungana 1-1 ndiyo wakaenda kupigiana penati ambapo Mbeya City ikashinda kwa mikwaju 4-2.
Next, Coastal Union inaenda kuitoa Utopolo.
a tunabeba yotee tff waamueUnataka Yanga itolewe ili upate mpenyo?
Na kwenye mapigo ya penalty Foba alikuwa anatoka hadi karibu na refa ila hakuna filimbiSema refa kawapa penati ya mchongo wale Azam lakini wametolewa nimefurahi sana😃😃😃
Amesahau kua kuna MASHUJAA WA KIGOMA.Unataka Yanga itolewe ili upate mpenyo?
Ila wewe🤣FT Azam 1-1 Mbeya City
Penati Azam 2-4 Mbeya City
Baada ya penati ya mwisho ya Mbeya City, Azam walienda kumzonga refa wakitaka wamalizie penati yao. Refa akawaelewesha hata mkipiga hamuendi kokote.
Mbeya City walipiga mpira wa ukweli,atakayekutana naye kazi anayo, ila penati waliyopewa Azam ilikuwa ya mchongo sana nimefurahi kutolewaSema refa kawapa penati ya mchongo wale Azam lakini wametolewa nimefurahi sana😃😃😃