Mbeya City yaitoa Azam FC kombe la Shirikisho la CRDB

Mbeya City yaitoa Azam FC kombe la Shirikisho la CRDB

Ratiba ya bodi ya ligi ndio inafanya timu nyingi zisifikie malengo, imagine, tangu Azam acheze na simba tayari ana michezo miwili lakini Simba ana mchezo mmoja na anasubiri wekeend kucheza na Yanga, kulikuwa na haja gani Azam kuipangia mechi mfululizo ili hali YANGA SIMBA wakipewa muda mzuri wa maandalizi? kinachoiua Azam siku zote ni ratiba ya Ligi si kingine. Laiti Azam angekuwa anapewa favour kama wanayopewa timu za Kariakoo Azam angekuwa kila msimu anachukua ubingwa. Ahsante Bodi ya League kwa kuinyonga aAzam
 
Huwa nasema Bakhresa angefanikiwa zaidi na timu yake ya Azam kama angeipeleka sehemu kama Mbeya au Morogoro, maeneo yenye historia nzuri ya mpira halafu akatafuta mashabiki wafia timu.
Angeichukua hata hiyo mbeya city awe ana finance kila kitu, ujue watu wa nyanda za juu kusini tuna umoja sana , sio jambo la kushangaa team ya Mbeya ikashabikiwa na watu wa Iringa, Njombe, Songwe hata Ruvuma pia
 
Refa wa mchongo aliwabeba sana jana bado penat zimeisha wachezaji wa azam wanamzonga tena refa
 
Huwa nasema Bakhresa angefanikiwa zaidi na timu yake ya Azam kama angeipeleka sehemu kama Mbeya au Morogoro, maeneo yenye historia nzuri ya mpira halafu akatafuta mashabiki wafia timu.
Acha kumpangia mtu maamuzi/matumizi ya kitu chake. Badala yake ungeanzisha timu yako halafu ukaipeleka hayo maeneo!
 
Angeichukua hata hiyo mbeya city awe ana finance kila kitu, ujue watu wa nyanda za juu kusini tuna umoja sana , sio jambo la kushangaa team ya Mbeya ikashabikiwa na watu wa Iringa, Njombe, Songwe hata Ruvuma pia
Sahihi kabisa. Angefanikiwa sana. Labda aliona ingeonekana ni timu ya kanda fulani. Waliomshauri au yeye mwenyewe alitaka awe na timu ya kitaifa kama Yanga au Simba ili brand iwe kubwa zaidi ila ni ngumu sana. Hizi timu mbili ni kama dini fulani.
 
Aisee hii n brkn news

Nilisema huyuu anaefadhili Azam kuna siku ataulixwa na Mungu hizi PESA za mchezo uliztoa wapi kwann hukutoa kwa YATIMA na wajane
Mmetoka kwa GSM sasa mpo kwa Bakhresa
 
Aisee hii n brkn news

Nilisema huyuu anaefadhili Azam kuna siku ataulixwa na Mungu hizi PESA za mchezo uliztoa wapi kwann hukutoa kwa YATIMA na wajane
Namshauri aiuze Azam,anunue mabus ya kwenda kenya
 
Back
Top Bottom