Ratiba ya bodi ya ligi ndio inafanya timu nyingi zisifikie malengo, imagine, tangu Azam acheze na simba tayari ana michezo miwili lakini Simba ana mchezo mmoja na anasubiri wekeend kucheza na Yanga, kulikuwa na haja gani Azam kuipangia mechi mfululizo ili hali YANGA SIMBA wakipewa muda mzuri wa maandalizi? kinachoiua Azam siku zote ni ratiba ya Ligi si kingine. Laiti Azam angekuwa anapewa favour kama wanayopewa timu za Kariakoo Azam angekuwa kila msimu anachukua ubingwa. Ahsante Bodi ya League kwa kuinyonga aAzam