Mbeya City yaitoa Azam FC kombe la Shirikisho la CRDB

kwenye mpira haya ni mambo yanayotokea mfano liverpool kafungwa na plymouth argyle kwenye fa cup.
 
Huu kweli ni mwaka wa ubaya ubwela.

Azam ametolewa kwa penati na Mbeya City katika mashindano ya Shirikisho la CRDB Cup. Tukumbuke kwamba Mbeya City inacheza katika ligi daraja la kwanza.

Timu hizo zilimaliza mchezo kwa kufungana 1-1 ndiyo wakaenda kupigiana penati ambapo Mbeya City ikashinda kwa mikwaju 4-2.

Next, Coastal Union inaenda kuitoa Utopolo.
Tangu watoe sare na Simba wapo hoi...maana nguvu zote ziliishia msimbazi
 
Huu kweli ni mwaka wa ubaya ubwela.

Azam ametolewa kwa penati na Mbeya City katika mashindano ya Shirikisho la CRDB Cup. Tukumbuke kwamba Mbeya City inacheza katika ligi daraja la kwanza.

Timu hizo zilimaliza mchezo kwa kufungana 1-1 ndiyo wakaenda kupigiana penati ambapo Mbeya City ikashinda kwa mikwaju 4-2.

Next, Coastal Union inaenda kuitoa Utopolo.
Huoni kabisa kuwa ameanza kutolewa SHANGAZI MTU... bado nyie DADA WATU {AISHA}na{ASHA}..!!!
 
Back
Top Bottom