NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Azam hawajawahi kuwa siriazi mkuu.Ratiba ya bodi ya ligi ndio inafanya timu nyingi zisifikie malengo, imagine, tangu Azam acheze na simba tayari ana michezo miwili lakini Simba ana mchezo mmoja na anasubiri wekeend kucheza na Yanga, kulikuwa na haja gani Azam kuipangia mechi mfululizo ili hali YANGA SIMBA wakipewa muda mzuri wa maandalizi? kinachoiua Azam siku zote ni ratiba ya Ligi si kingine. Laiti Azam angekuwa anapewa favour kama wanayopewa timu za Kariakoo Azam angekuwa kila msimu anachukua ubingwa. Ahsante Bodi ya League kwa kuinyonga aAzam
Ya kweli haya
Hii timu pamoja na azam media ndo bidhaaa mbovu za bakhresa! Yani kinga'amuzi cha azam bila ligi kuu hawana content kabisa na walivyo wehu wakakataa na kurusha mchezo wa ngumi.Hii timu Sh3nzi kabisa.
Bidhaa Mbovu ya Bakresa
Gongowazi apigweeeHuu kweli ni mwaka wa ubaya ubwela.
Azam ametolewa kwa penati na Mbeya City katika mashindano ya Shirikisho la CRDB Cup. Tukumbuke kwamba Mbeya City inacheza katika ligi daraja la kwanza.
Timu hizo zilimaliza mchezo kwa kufungana 1-1 ndiyo wakaenda kupigiana penati ambapo Mbeya City ikashinda kwa mikwaju 4-2.
Next, Coastal Union inaenda kuitoa Utopolo.
unataka timu ifanye nini ndipo utaona iko serious?Azam hawajawahi kuwa siriazi mkuu.
HUWA inaharibu zaidi nyakati muhimu sana na ukubwa wake haujalingana na namna wanavyocheza.Hasa kwenye michuano ya kimataifa na michezo muhimu sana.unataka timu ifanye nini ndipo utaona iko serious?