Hector Cooper
JF-Expert Member
- Apr 16, 2023
- 696
- 1,036
Yaani amechachamaa kinoma! watu wanampa fact yeye amekataa kabisa.Vipi sunk leo wamekushika kalio Nini?
Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani amechachamaa kinoma! watu wanampa fact yeye amekataa kabisa.Vipi sunk leo wamekushika kalio Nini?
Mlima hauzuii mji kuwa plannedMikoa ya mbeya na iringa geographical yake inachangia sana hiyo miji kutoendelea ..
mfano Iringa Ile milima milima mpaka katkt ya mji Yan inaondoa Vibe kichiz
Acha ujinga ! Unalinganisha Jiji la Mwanza na hicho kijiji chako kikubwa.Master plan itazipanga upya hizo slums Ili kwanza ziwe accessible na Huduma zote za jamii..
Kupanga Mbeya ni rahisi sana kuliko.kupanga slums dwellers wa Mwanza ambao 70% ya population wanaishi kwenye mabanda kule milimani..
Mwisho Master plan inalenga kuhakikisha hakuna slums Mpya zinazoibuka..
Unatetea ujinga. Ndio tabu ya kuishi porini huko NamanyereFremu kujengwa Zina shida gani? Kwamba Leo hii NHC inavunja makazi yake ya zamani huko Dar ,kwani pindi ikojitajika kujenga vinginevyo hizo fremu zitashindwa kuvunjwa?
CBD Wala Haina Uhitaji kama ilivyo Eneo la Kando ya Barabara Kuu ndio maana unaona Kuna shift ya majengo ya biashara.
Pole sana, umekata tamaaMajiji hayawezi kufanana na hiyo inakupa uwanja Mpana wa kuchagua Aina ya jiji unalopenda kuishi.
Kama Mbeya haikufurahishi kaishi jiji lingine linalomeet standard zako.
Hatuwaachi mpaka mbadilikeTuache na mbeya yetu
Wala hatuna shida na hicho kijiji chako. Nani akaishi kwenye baridi yabisi.Wanawashwa na Mbeya sema ndio hivyo hawawezi kujifanya Mbeya iwe Mikoa Yao.
Mpe vidonge vyake ! Jitu linaishi Namanyere huko halafu eti linajifanya linayajua majiji.Personal attack na unataka kushinda,Unajua kwanini nimeacha ku argue nawewe?!nmegundua huna facts,unaishindanisha miji na hutaki Mbeya ishindwe,uko tayari kuficha uozo unaofanywa na viongozi kuidunisha Mbeya yetu,Viongozi wenye maono hafifu kuhusu Mbeya ni lazima waambiwe ukweli!Huna Nia njema na Mbeya mkuu,ungekuwa na Nia njema na mkoa huo basi ungetambua kirahisi Hilo Jiji linakwamishwa na viongozi mbumbu waliokosa exposure.
Siwezi kujifariji ujinga Mimi,MBEYA INA MPANGILIO MBOVU KULIKO MAJIJI YOTE TANZANIA,bila kusahau ukosefu wa KMS za barabara za lami.
Watu wa mbeya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanawashwa na Mbeya sema ndio hivyo hawawezi kujifanya Mbeya iwe Mikoa Yao.
Watu wa mbeya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2657960View attachment 2657961View attachment 2657962
shamba lote litoke katikati ya mji wapeleke pembezoni hukoSi walishagawa viwanja ndio ukawa mtaa wa SAE kama sikosei. Ule mtaa ulio karibu na eneo/fence ya shamba?
mji unapumua vizuri kabisa(Greencity) bila haja ya kuwa na mashamba katikati ya mji tena upande wa pili kambi ya jeshiPale waache vilevile mji uwe unapumua. Hii mitazamo ya kifilisti ya kutaka kujenga kila inchi mnaitoaga wapi? Hamna tofauti na wale wakiona eneo la wazi wanataka kuweka baa na parking.
Upo sahihi na nimekuunga mkono toka ulivyoshauri mwanzo. Mi siishi Mbeya Mjini ila pale kuna vumbi sana. Kuna kipindi nilikuwa na kazi mjini pale ya wiki nzima. Vumbi ni balaa pia kipindi cha mvua, kuna tope balaa.Nature ya udongo, ardhi iko exposed sababu ya shughuli za kijamii zisizojali uhifadhi wa mazingira, ukijumuisha na upepo unaovuma usio na kizuizi chochote (hakuna miti) basi vumbi ni kama powder laini.
Suluhisho hapa ni upandaji wa miti kwa wingi, mji uwe kweli green city. Hii wala sio rocket science.
Hili vumbi pia utalipata sana sehemu zisizo na miti kama baadhi ya Wilaya za Dodoma au sehemu mama Makambako. Mbeya wasione Tabu kwenda ku-Benchmark sehemu kama Arusha, Moshi, Iringa kwa namna miji hii ilivyo na miti mingi inayosaidia kufanya hewa iwe safi na kuboresha mandhari ya mji.
Hahaaaa, katikati ya mji ni watu? Kwani mji wa Mbeya unaanzia wapi?shamba lote litoke katikati ya mji wapeleke pembezoni huko
Mbona wameshindwa kwa miaka yote hiyoMlima hauzuii mji kuwa planned
Unategemea wajinga kama nyie mtaonge nini? By the way Mnaelewa maana ya Jiji kwanza?Watu wa mbeya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2657960View attachment 2657961View attachment 2657962
Hahaha.... Mkuu hiyo ni danganya toto tu Ukitaka kujua uhalisia wewe ikia kwa ndani ndani zaidi achana na hapo jirani ya barabara ndio utajua ukweli. Kwanza Nigeria ni miongoni mwa nchi ambazo ndio ziko vibaya zaidi kwenye mipango miji duniani sio tu Africa pekee bali ni duniani kwa ujumla 😁Mh,mkuu Kuna baadhi ya miji Afrika ni mizuri mkuu,ebu jaribu kusearch miji ya Nigeria ya kawaida tuu,ila Angalia miundombinu na planings zao
Sio ushamba ni mjinga tuu huyo,Kwa Sasa Mbeya Iko vizuri na sifa zote za Jiji ndio maana hoja Yao eti hkuna mall,ni akili au Matope?Mbeya ya 2023 unaisema je u gerona mbeya ya mwaka 2000 ungesemaje acha ushamba