Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Acha ujinga ! Unalinganisha Jiji la Mwanza na hicho kijiji chako kikubwa.
 
Unatetea ujinga. Ndio tabu ya kuishi porini huko Namanyere
 
Majiji hayawezi kufanana na hiyo inakupa uwanja Mpana wa kuchagua Aina ya jiji unalopenda kuishi.

Kama Mbeya haikufurahishi kaishi jiji lingine linalomeet standard zako.
Pole sana, umekata tamaa
 
Mpe vidonge vyake ! Jitu linaishi Namanyere huko halafu eti linajifanya linayajua majiji.
 
Pale waache vilevile mji uwe unapumua. Hii mitazamo ya kifilisti ya kutaka kujenga kila inchi mnaitoaga wapi? Hamna tofauti na wale wakiona eneo la wazi wanataka kuweka baa na parking.
mji unapumua vizuri kabisa(Greencity) bila haja ya kuwa na mashamba katikati ya mji tena upande wa pili kambi ya jeshi
 
Upo sahihi na nimekuunga mkono toka ulivyoshauri mwanzo. Mi siishi Mbeya Mjini ila pale kuna vumbi sana. Kuna kipindi nilikuwa na kazi mjini pale ya wiki nzima. Vumbi ni balaa pia kipindi cha mvua, kuna tope balaa.
 
Mh,mkuu Kuna baadhi ya miji Afrika ni mizuri mkuu,ebu jaribu kusearch miji ya Nigeria ya kawaida tuu,ila Angalia miundombinu na planings zao
Hahaha.... Mkuu hiyo ni danganya toto tu Ukitaka kujua uhalisia wewe ikia kwa ndani ndani zaidi achana na hapo jirani ya barabara ndio utajua ukweli. Kwanza Nigeria ni miongoni mwa nchi ambazo ndio ziko vibaya zaidi kwenye mipango miji duniani sio tu Africa pekee bali ni duniani kwa ujumla 😁
 
Mbeya ya 2023 unaisema je u gerona mbeya ya mwaka 2000 ungesemaje acha ushamba
Sio ushamba ni mjinga tuu huyo,Kwa Sasa Mbeya Iko vizuri na sifa zote za Jiji ndio maana hoja Yao eti hkuna mall,ni akili au Matope?

Mtu anataja mitaa ambayo haijapimwa,mwambie ataje Mji wake Ili tuone kama imepimwa..watu wa hivyo Huwa wanaishi Ile mitaa ya mabanda walikojaa panya road 😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…