Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Ukweli ni kwamba "Mbeya Ni KIJIJI"... Hata Manispaa ya Moshi Ina miundombinu na mpangilio bora kuliko Mbeya.

Nathan ina hadhi ya Jiji Kwa kuwaití ina Kipato kikubwa {Regional GDP}. Otherwise, Kuupanga ule mji mpya haiwezekani, Kwanza ni mfinyu sana, umezungukwa na milima, Alaf hapo kati kati ya "kijiji" tayari kuna Slum za kutosha.
 
Mashamba na kambi, na hata ile ya Itende ni muhimu kwa mji kupumua. Hatuwezi jenga kila kipande cha ardhi. Na hata hayo maeneo yakijengwa bado watu watataka mengine, si kwamba kujenga hapo kutamaliza tatizo la makazi. Forest Mpya ilikuwa pori likajengwa, Iwambi palikuwa eneo la wazi pakajengwa. Eneo la wazi la Airport ya zamani panajengwa. Bado watu wanaendelea kutaka zaidi na zaidi. Watu wakajenge Mbeya vijijini. Ituha kwa mbele na kuelekea njia ya Dar. Mji unakuwa mzuri ukiwa na maeneo makubwa ya wazi.
mji unapumua vizuri kabisa(Greencity) bila haja ya kuwa na mashamba katikati ya mji tena upande wa pili kambi ya jeshi
 
Kweli yale mashamba pale uyole yanafanya mbeya ionekane bado ni kijijini, yatolewe ujengwe mji mkubwa wa kisasa with shopping malls[emoji123]
 
Mjinga ni wewe unaeishi kwenye mabanda ya nguruwe, Namanyere ni Bora mara elfu 1,000 kuliko Gongolamboto au Kirumba

Arafu siku zote wenye hoja za hivi huwa ni wakuja mjini, yani kwakua kule majoring kwao miaka nenda rudi hakubadiliki akapata bahati akaja mjini, akakuta magorofq, magazine nk basi sehemu yoyote akisikia ni mjini a aqua kupo sawa na pale alipo so akienda akiona tofauti anaashangaa na kuja na hoja za kitoto mitandaoni

Mzawa wa mjini hana hoja za kitoto cause ameshuhudia mji unakuwa kwenye pori baada ya miaka pori linatoweka makazi ila wajijini kwenye pori ni pori tangu uhuru mpaka leo
 
Sasa kama umeshuhudia Mji unakua unapata wapi jeuri ya kuponda Mbeya ya Sasa vs ya zamani? Nyie wajinga si ndio mliaminishwa kwamba Mbeya haitakiwi kujengwa gorofa zaidi ya 3 na mkaamini?

Sie wa kuja ndio tumewaletea maendeleo mnapata na pa kupigia picha nyumbu nyie.
 
Mnatakiwa mbadirike, hakuna mtu anayetaka kuishi hilo jiji lenu, mtu yoyote akiambiwa apangiwe kazi jiji la mbeya au Mwanza we unazani Mbeya itapata mtu hata mmoja?
Mngekuwa hamtaki msingekuwa mnawashwa na Mbeya 😁😁

Mbeya haikwepeki ni sweet home.Karibu Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo 8/8
 

Mzawa wa mjini mbeya ? Wapi hasa , mzawa wa Nzovwe? Kwamba ukizaliwa mbeya na wewe unadai umezaliwa mjini ? Yaani uzaliwe igawilo halafu useme umezaliwa mjini ?
 
Mikoa ya mbeya na iringa geographical yake inachangia sana hiyo miji kutoendelea ..
mfano Iringa Ile milima milima mpaka katkt ya mji Yan inaondoa Vibe kichiz
Mikoa yote ya nyanda za juu kusini ni zaidi ya utopolo, hata ukipelekwa huko unahisi upo mwisho wa dunia au umetelekezwa na serikali, tabu sana hiyo mikoa.
 
Mzawa wa mjini mbeya ? Wapi hasa , mzawa wa Nzovwe? Kwamba ukizaliwa mbeya na wewe unadai umezaliwa mjini ? Yaani uzaliwe igawilo halafu useme umezaliwa mjini ?
Kwa nini unawashwa na Mbeya? Washwa na kwenu Iringa kwenye tembe huko ,achana na Mbeya kabisa.
 

Mbeya ya miaka ya 2005 was far better and organized kuliko hii takataka ya sasa yenye bajiji kama uchafu.
 
Huyo jamaa yako huwa anatetea ujinga na kujifariji wakati hajui kufanya hivyo ni sawa na kuzidi kuididimiza mbeya yenu.
 
Huyo jamaa yako huwa anatetea ujinga na kujifariji wakati hajui kufanya hivyo ni sawa na kuzidi kuididimiza mbeya yenu.
Fala wewe nenda kaondoe mabanda ya nguruwe yaliyojaa Mwanza ndio uje kuzungumzia Mbeya.
 
Uliyosema yote ni kweli..yani jiji halina hta shopping mall?..weekend cc wa maisha ya kawaida tunajazana Mwailubi na mbeya pazuri tu..maana city pub na carnival pashajifia kiaina!!
Hapo mwailubi kwenyewe kuna vibaka,tabu tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…