Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Mabanda ya Mwanza yatampelekea nani Moto?

Ni hivi Miji ya Kupeleka moto Kwa Mbeya ni Dodoma na Arusha tuu,Mwanza imejaza maskini na ushuzi mtupu
Wewe unakubali Arusha na Dodoma zinaizidi Mbeya! hizo Arusha na Dodoma zinazidiwa na Mwanza kwa mujibu serikali yenyewe inasema Mwanza ni jiji la pili. Sasa unailinganisha Mwanza na Mbeya ambayo inazidiwa na Ashura na Dodoma ambazo zinazidiwa na Mwanza! hivi ni akili kweli hizo.

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna kitu Mwanza imezidi au kuikaribia Arusha na Dom Kwa kila kitu.

Mwanza ni Moja ya Miji ya maskini na ya hovyo kabisa hapa Tanzania
 
Hakuna kitu Mwanza imezidi au kuikaribia Arusha na Dom Kwa kila kitu.

Mwanza ni Moja ya Miji ya maskini na ya hovyo kabisa hapa Tanzania
Kwahiyo serikali hawana akili kusema Mwanza ni jiji la pili? naomba tuwaheshimu mamlaka zinazosimamia vigezo vya majiji waliosema Mwanza ni jiji la pili baada ya Dar. Kwani hiyo miji mingine waliiona lakini wakasema Mwanza.

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
 
Piga kelele wewe kwa Iringa
 

Ukitaja sifa za Jiji lazima uwe na ubongo wa kukusaidia kufikiria. Na hii ni Moja tu ya sifa katika sifa 100 ambazo Jiji, the rocky city has.
 
Mbeya yote inamezwa na hiyo pic ya pili. Inamezwa na kajisehemu nje ya CBD
 
Nafikiri kuna haja ya kuweka somo/topic maalumu ya mipango miji katika elimu yetu.

Ikibidi wataalamu wa halmashauri baadhi wapelekwe hata Namibia wakajifunze.
Tushachelewa kuhusu hilo swala.
Hapo ilitakiwa tusiweke na kuruhusu huduma za kijamii kwenda sehemu ambazo hazijapangwa, au ambazo hazijafata mipango miji.

Na pia hauruhusiwi jenga sehemu kama huna hati, hii ingesababisha kwa sehemu kubwa kuzuia makazi ya hovvyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…