ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Mabanda ya Mwanza yatampelekea nani Moto?Wanataka ligi Nini tuwapelekee moto
Ni hivi Miji ya Kupeleka moto Kwa Mbeya ni Dodoma na Arusha tuu,Mwanza imejaza maskini na ushuzi mtupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabanda ya Mwanza yatampelekea nani Moto?Wanataka ligi Nini tuwapelekee moto
Wewe unakubali Arusha na Dodoma zinaizidi Mbeya! hizo Arusha na Dodoma zinazidiwa na Mwanza kwa mujibu serikali yenyewe inasema Mwanza ni jiji la pili. Sasa unailinganisha Mwanza na Mbeya ambayo inazidiwa na Ashura na Dodoma ambazo zinazidiwa na Mwanza! hivi ni akili kweli hizo.Mabanda ya Mwanza yatampelekea nani Moto?
Ni hivi Miji ya Kupeleka moto Kwa Mbeya ni Dodoma na Arusha tuu,Mwanza imejaza maskini na ushuzi mtupu
Hakuna kitu Mwanza imezidi au kuikaribia Arusha na Dom Kwa kila kitu.Wewe unakubali Arusha na Dodoma zinaizidi Mbeya! hizo Arusha na Dodoma zinazidiwa na Mwanza kwa mujibu serikali yenyewe inasema Mwanza ni jiji la pili. Sasa unailinganisha Mwanza na Mbeya ambayo inazidiwa na Ashura na Dodoma ambazo zinazidiwa na Mwanza! hivi ni akili kweli hizo.
Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo serikali hawana akili kusema Mwanza ni jiji la pili? naomba tuwaheshimu mamlaka zinazosimamia vigezo vya majiji waliosema Mwanza ni jiji la pili baada ya Dar. Kwani hiyo miji mingine waliiona lakini wakasema Mwanza.Hakuna kitu Mwanza imezidi au kuikaribia Arusha na Dom Kwa kila kitu.
Mwanza ni Moja ya Miji ya maskini na ya hovyo kabisa hapa Tanzania
Wewe unajua ni Jiji la pili Kwa kitu gani?Kwahiyo serikali hawana akili kusema Mwanza ni jiji la pili? naomba tuwaheshimu mamlaka zinazosimamia vigezo vya majiji waliosema Mwanza ni jiji la pili baada ya Dar. Kwani hiyo miji mingine waliiona lakini wakasema Mwanza.
Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
Piga kelele wewe kwa IringaKote huko hakuna hizo bata kama mtu umebahatika kusafiri duniani.
Although naweza Chagua Iringa over mbeya sababu Iringa ni pasafi Hapana Vumbi kama Mbeya , Iringa pana ustaarabu na utulivu sio chaotic, noisy na vurugu kama Mbeya , hata mji wa iringa kwa ujumla ni mzuri kuliko mbeya.
Uelewa wako mdogo sana, nahisi una ubongo wa PANZI.Hakuna kitu Mwanza imezidi au kuikaribia Arusha na Dom Kwa kila kitu.
Mwanza ni Moja ya Miji ya maskini na ya hovyo kabisa hapa Tanzania
Iringa ulinganishe na Mbeya??. Iringa ni mji mmoja msafi na mzuri kuliko mji wowote nyanda za kusini.Piga kelele wewe kwa Iringa
Nimegonga kwenye ugogo wa kichwa chako 😂😂Uelewa wako mdogo sana, nahisi una ubongo wa PANZI.
[emoji91][emoji91][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]City ni infrastructures, mbeya haina izo sifa,city ni planning, mbeya iko shagalabagala,City sio tu idadi ya watu ,yani labda ivunjwe muanze upya
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Kabisa mkuu.Mbeya siyo sehemu ya kuishi mtu mwenye akili timamu kabisa, labda kama unatokea mkoa huo huo ndiyo uishi lakini kama ni mgeni achana nao ni sehemu ya hovyo sana
Kwani Dar ni jiji la kwanza kwa kitu gani?Wewe unajua ni Jiji la pili Kwa kitu gani?
Kama nini?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani ukienda Mbalizi watu kama nyani
Tushachelewa kuhusu hilo swala.Nafikiri kuna haja ya kuweka somo/topic maalumu ya mipango miji katika elimu yetu.
Ikibidi wataalamu wa halmashauri baadhi wapelekwe hata Namibia wakajifunze.