Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Ujuu wake uko wapi na Kwa lipi? Barabara hakuna,mitaa full uswazi,mapato ya Jiji Arusha imezidiwa,vyuo mumezidiwa,idadi wa watu mumezidiwa nk nk

Arusha imezidi Dodoma bangi na mapori mjini [emoji23][emoji23]
Siwezi kukulaumu maisha yako yote umeishi kijijini huwezi kujua tofauti ya jiji na kijiji

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Hizi ndio nyumba za mbeya.. ambazo unazisemea ....vikorokotokoto vya ndege [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio unalingia hapa mbeyslum
 
Mbeya hapa[emoji28][emoji28]
Mbeya panaweza pakawa pamepangiliwa ovyo au hakuna majengo marefu ya kutosha, lakini kuna uzuri wake. Huu ni mji mzuri sana na mandhari yake yanavutia
Shida Wabongo wanataka kuona maghorofa marefu ndio waone hilo jiji ni nzuri [emoji16][emoji16]

Mbeya[emoji4][emoji4]
 
Ujuu wake uko wapi na Kwa lipi? Barabara hakuna,mitaa full uswazi,mapato ya Jiji Arusha imezidiwa,vyuo mumezidiwa,idadi wa watu mumezidiwa nk nk

Arusha imezidi Dodoma bangi na mapori mjini πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ We fala sana.
 
Niko Mbeya hapa, inashangaza kwa nini usitume picha za Uzunguni pia, au nayo sio Mbeya? Umesema hakuna jogging Mbeya, pia inashangaza kwa sababu leo nimefanya jogging bila usumbufu wowote. Ongelea Uzunguni pia sio Uyole pekee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…