ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Sweet MbeyaIsipopita siku hujaitaja mwanza kwenye ujinga wako😆😆😆, kila kitu, kila mji lazima uulinganishe na Mwanza, we pambana na jangwa lako hilo, jiji lisilokuwa na shukrani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sweet MbeyaIsipopita siku hujaitaja mwanza kwenye ujinga wako😆😆😆, kila kitu, kila mji lazima uulinganishe na Mwanza, we pambana na jangwa lako hilo, jiji lisilokuwa na shukrani.
Siwezi kukulaumu maisha yako yote umeishi kijijini huwezi kujua tofauti ya jiji na kijijiUjuu wake uko wapi na Kwa lipi? Barabara hakuna,mitaa full uswazi,mapato ya Jiji Arusha imezidiwa,vyuo mumezidiwa,idadi wa watu mumezidiwa nk nk
Arusha imezidi Dodoma bangi na mapori mjini [emoji23][emoji23]
Huna hoja unaleta viojaSiwezi kukulaumu maisha yako yote umeishi kijijini huwezi kujua tofauti ya jiji na kijiji
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Hizi ndio nyumba za mbeya.. ambazo unazisemea ....vikorokotokoto vya ndege [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio unalingia hapa mbeyslumUkitaka kuona uzuri wa mji angalia wakazi wake wengi wanaishi namna gani.
Huko Arusha watu wanaishi kwenye nyumba za miti huko Ungalimited, watu wa mwanza wengi wanaishi kwenye slums milimani, Dar watu wanaishi na open sewers mitaani.
Mbeya haijapangika ila watu wake hawaishi kwenye mabanda na maslum yenye open sewers.
Naona vikorokotokoto ti[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sweet Mbeya
View attachment 2691313
Andika vizuri mbona kama unaumia sehemu? 😆😆Naona vikorokotokoto ti[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani niache kuumizwa na dar nije niumizwe na mbeyslum [emoji116]Andika vizuri mbona kama unaumia sehemu? [emoji38][emoji38]
Wapi huko?Mbona kumepauka ivo
Siasa za hovyo zimeharibu taalumaMipango miji ni changamoto kwa nchi nzima. Na wala viongozi hawajitafakari
Yaani niache kuumizwa na dar nije niumizwe na mbeyslum [emoji116]
Imagine hii ndio kariakoo ya mbeyslum [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2691364
Hizi ndio nyumba za mbeya.. ambazo unazisemea ....vikorokotokoto vya ndege [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio unalingia hapa mbeyslum View attachment 2691359
😃😃😃😃😃 We fala sana.Ujuu wake uko wapi na Kwa lipi? Barabara hakuna,mitaa full uswazi,mapato ya Jiji Arusha imezidiwa,vyuo mumezidiwa,idadi wa watu mumezidiwa nk nk
Arusha imezidi Dodoma bangi na mapori mjini 😂😂
Niko Mbeya hapa, inashangaza kwa nini usitume picha za Uzunguni pia, au nayo sio Mbeya? Umesema hakuna jogging Mbeya, pia inashangaza kwa sababu leo nimefanya jogging bila usumbufu wowote. Ongelea Uzunguni pia sio Uyole pekeeMoja kwa moja kwenye mada;
Wenyewe wanaita green city, hii sio kweli . Jina linatakiwa liwe Dusty City.
Hivi pamoja na Hali ya hewa nzuri kitu gani kinazuia halmashauri ya mji kuwa na mipango ya upandaji wa miti ?
Mji wa Mbeya ni kati ya miji mikubwa (Kwa eneo na idadi ya wakazi) Lakini maisha ya mbeya kwa ujumla ni typical kijijini. No order , hakuna ustaarabu, chaotic , vumbi, makelele , watu wanapita na magari ya matangazo ya kila aina Hadi ya misiba. Hawa NEMC badala ya kudeal na kidimbwi na kitambaa cheupe kwanini huku hamuoni?
Mbeya hakuna usafiri wa Taxi , Bajaji ni nyingi kuliko abiria na hazina route yaani kokote anaenda. Daladala routes ni mbili tu Mjini Mbalizi au Mjini Uyole. Ikifika saa tatu usiku basi wewe daka boda uende uendako.
Mbeya hakuna hadhi wala mwonekano wa jiji, tofauti kabisa na Arusha au Mwanza, Mji mzima hakuna hata sehemu ya kufanya matembezi ? Mbeya nyumba za tope zimetapakaa kuanzia uyole, sae, hadi soweto makunguru hadi nzovwe na iyunga.. huko mbalizi ni balaa lingine.
Inashangaza kuona 2023 katikati ya mji serikali inajenga fremu za kupangisha. That’s so annoying.
Why not some modern Structure like a shopping mall?
Hivi mna uhakika hawa viongozi wa halmashauri ya mji wa Mbeya walienda shule kweli? Miaka kadhaa ya nyuma kulikuwa na Fursa ya kujenga Soko la kisasa au shopping mall pale mwanjelwa jamaa wa huko halmashauri ya mji wakaja na lidude la kizamani (structure nzee ya miaka ya 1700s huko) tena kwa mabilioni ya pesa, baada ya pale SIDO kuungua tukajua watakuja na kitu cha tofauti, wapi. Yaleyale.
Picha: Mwonekano wa juu wa mji wa mbeya.
Fremu za Biashara zinazojengwa na Halmashauri ya jiji la mbeya katikati ya mji (CBD)
Jengo la soko la mwanjelwa lililojengwa kwa gharama kubwa (bilioni 60+) pesa za walipakodi
Eneo la kabwe, hapa jioni hugeuka gulio.. hapa unahitaji tu kuwa na bidhaa..nenda kabwe then mwaga chini uza. Vurugumechi.
Miundombinu ni duni sana, duni mno . Barabara ni moja tu ya TAZAM Highway inayopita mjini ambayo ni chakavu sana na ni moja (Sio Dualed). Mbeya si rafiki wa watembea kwa miguu sababu utagongwa muda wowote kama sio na bajaji basi bodaboda. Hakuna jogging Mbeya.
Kwa upande wa huduma za Afya mbeya pako [emoji817]. Mengine ni hovyo kabisa..
Ushauri:
1. Mradi mpya wa barabara ya njia nne toka uyole hadi Uwanja wa ndege ufanyike njia sita maeneo ya Mjini kupunguza foleni, na pia kuwe na provisions za watembea kwa miguu, pale mafiati kuwe na interchange kurahisisha traffic na angalau tusifikirie kubomoa na kujenga tena kwa miaka 15 ijayo.
2. Zijengwe nyumba za kisasa za makazi sehemu kama airport ya zamani. Pia kile chuo cha kilimo kitoe yale mashamba kwa NHC na zijengwe affordable houses nk. Mashamba hayatakiwa mijini. Nchi ina mapori mengi sana
3. Upandaji wa miti iwe ni kipaumbele. Walau kupunguza lile vumbi mjini. Watoto wa shule za misingi na sekondari can easily do this bila hata gharama.
5. Think Big. Jiji linaweza kuanza kufikiria kuwa na reli nyepesi ya abiria toka uwanja wa ndege wa Songwe hadi Uyole, na kubranch pale Meta ikaenda hadi mjini na kuja kutokea mwanjelwa. Kwa Jografia ya mji wa mbeya reli hii itarahisisha usafiri kwa zaidi ya 80% ya mahitaji ya usafiri wa mjini.
6. Maeneo ya wazi yawepo. Hii in muhimu sana.
NB: Mimi sio mwandishi wa wa habari.
Punguza chuki, Mbeya day kuna darasa la saba?Kuna yule popoma sugu aliyeishia la saba ni kufanya uhuni tu
Huyu tulia naye nilimwona mtu wa maana naye ameungana na mafisadi ya kiarabu kuuza nchi