Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Ni sawa nyumba za tope zile za kizamani bado zipo nyingi mjini. Una mbishi jamaa tu ila kuongea na kushauri vitu vya ukweli kabisa. Namuunga mkono.
 
Ona hii kiazi ya juzi😌
Mbeya vijumba vya tope vimejaa mji mzima na hata zenye cement ni plasta almost zote ni tofali za kuchoma

Mbeya ni pabaya kuliko hata Dodoma
BRT mbeya?
Unaumwa ny'a ww
 

Asante kwa Kutujuza , endelea kutujuza Mzalendo wa Mbeya . Acha na huyu mjuha wa mbeya [mention]ChoiceVariable [/mention] mbishi shupaza Shingo [emoji1787]
 
Naiona Benk kuu hapo jirani na FOREST zamani nshawahi kukaa Block T😎
 
Sikushangai! Maaana jf watu kwa kujishaua!!!
Haya tuambie wewe kwenu Jiji Gani? Tupiamo na kapicha!!!
 
Seems like uko na exposure ndogo ya sehemu kubwa ya Mbeya! Yapo machache unaweza kuwa sahihi!

Anyway, reli zijengwe mitaani Mbeya jiji? Unajua jiografia ya Mbeya kweli? Unajua nature ya ujenzi wa reli inavyotaka tambarale? Au unazungumzia subways?
 
Who taught you Mbalizi ni sehemu ya jiji la Mbeya? Mbalizi ni wilaya ya Mbeya vijijini haina hata Mamlaka ya Mji!

Kwani master plan huja kufanya overall ya sehemu zote? Ndio maana kuna Manzese, Magomeni, etc unadhani Dar haina Master Plan?
 
Mbeya sehemu poa ni Forest kulikobaki nyumba za udongo ni nyingi mazee,kuwa Jiji sio poa,ni ngumu dereva ku over take kuan,is igurusi mpaka meta

Mpaka ifisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…