Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Seems like uko na exposure ndogo ya sehemu kubwa ya Mbeya! Yapo machache unaweza kuwa sahihi!

Anyway, reli zijengwe mitaani Mbeya jiji? Unajua jiografia ya Mbeya kweli? Unajua nature ya ujenzi wa reli inavyotaka tambarale? Au unazungumzia subways?

Acha wehu Kwani TAZARA imepita Dodoma ?
 
Who taught you Mbalizi ni sehemu ya jiji la Mbeya? Mbalizi ni wilaya ya Mbeya vijijini haina hata Mamlaka ya Mji!

Kwani master plan huja kufanya overall ya sehemu zote? Ndio maana kuna Manzese, Magomeni, etc unadhani Dar haina Master Plan?

Okay tuondoe Mbalizi, tunabaki na Airport , uyole hadi igawilo, ilemi , isanga, meta, mabatini, soko matola , iganzu, gana, kote huko ni mavumbi mavumbini, mama Joni , ilomba, isyesye, uwata, kote huku uswazi.

Mara kadhaa nikiwa natokea chunya najaribu kupiga picha nipate view ya mbeya ila siipati, yaani hakuna angle utakaa upige picha ya jiji. Hakuna jiji pale. Hovyo kabisa . In short there is nothing to show off.
 
Uliyosema yote ni kweli..yani jiji halina hta shopping mall?..weekend cc wa maisha ya kawaida tunajazana Mwailubi na mbeya pazuri tu..maana city pub na carnival pashajifia kiaina!!
Shopping Malls ni ushamba, ni vile watu weusi wanapenda vitu vya kung'aa. Mbeya wasithubutu kujenga Shopping Malls, kwanza umeme wa kupasha joto shopping mall nzima na lile baridi wanao?
 
hivi serikali ina mpango gani na lile shamba uyole pale? inabidi litoke wagawe viwanja
Pale waache vilevile mji uwe unapumua. Hii mitazamo ya kifilisti ya kutaka kujenga kila inchi mnaitoaga wapi? Hamna tofauti na wale wakiona eneo la wazi wanataka kuweka baa na parking.
 
Shopping Malls ni ushamba, ni vile watu weusi wanapenda vitu vya kung'aa. Mbeya wasithubutu kujenga Shopping Malls, kwanza umeme wa kupasha joto shopping mall nzima na lile baridi wanao?

Mall kwako ni ushamba, ila badala yake Kujenga Takataka kama hii kwa Bilioni 60+ ni Sawa tu.
IMG_4478.jpg
 
Mall kwako ni ushamba, ila badala yake Kujenga Takataka kama hii kwa Bilioni 60+ ni Sawa tu.
View attachment 2656708
Hata kujenga hilo ulikuwa ufisadi tu na ushamba. Ndiyo maana hakuna biashara ya maana inayoendelea humo. Biashara zinazofanyika haziendani na gharama ya jengo hata kidogo. Mji mzuri una maduka ya chini watu wanashop kwa kutembea huku na kule. Maduka yawe katika centre nyingi. Mtu akihitaji kitu si lazima apande gari kwenda kwenye Malls.
 
Majiji hayawezi kufanana na hiyo inakupa uwanja Mpana wa kuchagua Aina ya jiji unalopenda kuishi.

Kama Mbeya haikufurahishi kaishi jiji lingine linalomeet standard zako.
Mbeya haina kiwango cha kuwa jiji kwa vigezo vyovyote.
 
Hata kujenga hilo ulikuwa ufisadi tu na ushamba. Ndiyo maana hakuna biashara ya maana inayoendelea humo. Biashara zinazofanyika haziendani na gharama ya jengo hata kidogo. Mji mzuri una maduka ya chini watu wanashop kwa kutembea huku na kule. Maduka yawe katika centre nyingi. Mtu akihitaji kitu si lazima apande gari kwenda kwenye Malls.

Hakuna mji wa kisasa duniani usio na malls , I am wondering unasema malls ni ushamba , sema wewe ndio mshamba. Hujasafiri kuona miji ya wengine duniani ipoje.
Malls ni zaidi ya maduka ya mitumba ya kabwe, malls kuna huduma nyingi kuanzia recreations , michezo ya watoto , huduma za kifedha, cinema halls nk .
Ukute wewe ni miongoni mwa watumishi wa halmashauri ya mji wa mbeya wanaojenga fremu za kupangisha CBD.
IMG_4479.jpg
 
Ona hii kiazi ya juzi😌
Mbeya vijumba vya tope vimejaa mji mzima na hata zenye cement ni plasta almost zote ni tofali za kuchoma

Mbeya ni pabaya kuliko hata Dodoma
BRT mbeya?
Unaumwa ny'a ww
Fala wewe ,Mbeya itswatesa Hadi mkome..

Asilimia 70 ya nyumbu wa Mwanza wanaishi kwenye mabanda Milimani kule 😁😁
 
Ni sawa nyumba za tope zile za kizamani bado zipo nyingi mjini. Una mbishi jamaa tu ila kuongea na kushauri vitu vya ukweli kabisa. Namuunga mkono.
Kwani hizo nyumba za tope Zina shida gani? Umewahi sikia zimeleta madhara?

Tena kama.unataka kujenga nyumba Imara ni aidha utumie block au tofari mbichi,ukichoma huo udongo zinakuwa kama karatasi..

Mbeya inawawasha sana 😁😁
 
Hakuna mji wa kisasa duniani usio na malls , I am wondering unasema malls ni ushamba , sema wewe ndio mshamba. Hujasafiri kuona miji ya wengine duniani ipoje.
Malls ni zaidi ya maduka ya mitumba ya kabwe, malls kuna huduma nyingi kuanzia recreations , michezo ya watoto , huduma za kifedha, cinema halls nk .
Ukute wewe ni miongoni mwa watumishi wa halmashauri ya mji wa mbeya wanaojenga fremu za kupangisha CBD.
View attachment 2656749
Zile frame zinafaa mjini kuliko malls. Malls zinafaa nchi za baridi kama indoor shopping wakati wa baridi kali. Malls zilijengwa ili kuhudumia wazungu wa suburbs waliotaka kuishi kitulivu na huku zoning laws zao zikiwakataza kuendesha biashara maeneo ya makazi. Malls zinahitaji watu wawe na usafiri binafsi na ndiyo maana malls zinakuwa na parking lots kubwa kuliko hata jengo lenyewe. Huku tunahitaji maeneo wazi ya biashara kama hizo fremu za mjini. Tunahitaji centre nyingi za biashara.

Kwa ushamba watu wanakimbilia kujenga mamalls huku Afrika bila kujua sababu ya uwepo wake. Mshamba akiona kitu kinang'aa au kikubwa anajua ndiyo kizuri.
 
Watu wa mbeya waache kuchagua clowns , sugu is a typical clown [emoji1782],
huyu spika ni chawa wa namba moja. Huwezi kuwa na mwakilishi chawa ukategemea maajabu. Mambo ya mbeya ni ya hovyo mno ,
Kuna shida nyingi sana . Kuna barabara inabidi msubiliane yapite malori then zipite gari zenu ndogo ,
Juzi kati nlikuwa tunduma tulikaa mbalizi karibu lisaa tukisubiri malori yamalizike kisha twende sisi,
Ajabu hizi shida na kero zote mwakilishi chawa wala hana habari na hajui, kazi yake ni kuhamasisha na ku support mikataba ya hovyo.
Mbalizi ndiyo eneo lililotengwa zaidi kimaendeleo ndani ya Mbeya,Miradi mingi mikubwa inakimbiziwa ukanda wa Uyole,mjini kati panaachwa papwekee pakihifadhiwa kama car parking tuu🤔🤔!!!viongozi wanaopelekwa Mbeya hawajui historia ya Jiji Hilo,hata wakiulizwa city centre ni wapi hawajui!!kuanzia wakuu wa mikoa,wakurugenzi wanaopelekwa Mbeya hawaijui historia ya Mbeya,madiwani wote ni mambumbu na wabinafsi,wanafiki.na walafi pia.

Stendi kuu mpya ya kisasa kujengea old airport ni ushahidi mwingine kuwa Hawa jamaa hawaoni mbalii,old airport ni miongoni mwa miji ya zamani,stendi kuu ikiwa pale kutakuwa hakuna sehemu ya mji kupumulia au kutanukia,we fikiria soko kuu Mwanjelwa liko ukanda huohuo,ukanda huo pia una karibia vyuo vikuu vyote vilivyopo Mbeya (M.U.S.T excluded). Idadi kubwa ya watu wataishi ukanda huu na hivyo kuzuia mji kutanuka.STENDI KUU YA KISASA IJENGWE IWAMBI Ili iwe chachu ya kuifanya Mbalizi ikue na kufikia hadhi ya Manispaa.
 
Back
Top Bottom