Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Mbalizi ndiyo eneo lililotengwa zaidi kimaendeleo ndani ya Mbeya,Miradi mingi mikubwa inakimbiziwa ukanda wa Uyole,mjini kati panaachwa papwekee pakihifadhiwa kama car parking tuu🤔🤔!!!viongozi wanaopelekwa Mbeya hawajui historia ya Jiji Hilo,hata wakiulizwa city centre ni wapi hawajui!!kuanzia wakuu wa mikoa,wakurugenzi wanaopelekwa Mbeya hawaijui historia ya Mbeya,madiwani wote ni mambumbu na wabinafsi,wanafiki.na walafi pia.

Stendi kuu mpya ya kisasa kujengea old airport ni ushahidi mwingine kuwa Hawa jamaa hawaoni mbalii,old airport ni miongoni mwa miji ya zamani,stendi kuu ikiwa pale kutakuwa hakuna sehemu ya mji kupumulia au kutanukia,we fikiria soko kuu Mwanjelwa liko ukanda huohuo,ukanda huo pia una karibia vyuo vikuu vyote vilivyopo Mbeya (M.U.S.T excluded). Idadi kubwa ya watu wataishi ukanda huu na hivyo kuzuia mji kutanuka.STENDI KUU YA KISASA IJENGWE IWAMBI Ili iwe chachu ya kuifanya Mbalizi ikue na kufikia hadhi ya Manispaa.
Old Airport ni kubwa sana,kupumua kupinunakokusema wewe? Ma stand ya Magufuli mbezi,Na za Mwanza ziko Nje ya Mji? Maeneo yake yanalingana Ukubwa na Old Airport?

Safi sana Jiji Kutenga Old Airport kuwa Stand Mpya ,tusiige hao nyumbu wengine wa Majiji ya huko ambao wameweka Stand zao mbali na Mji..

Mwisho Mbalizi sio sehemu ya Jiji la Mbeya,kule ni Mbeya DC ,sana sana Kuna mapendekezo ya kuanzisha Manispaa ya Mbalizi kama itapita ndio itapata Kujitegemea na kuwa na Bajeti zake ila Kwa Sasa Haina .
 
Okay tuondoe Mbalizi, tunabaki na Airport , uyole hadi igawilo, ilemi , isanga, meta, mabatini, soko matola , iganzu, gana, kote huko ni mavumbi mavumbini, mama Joni , ilomba, isyesye, uwata, kote huku uswazi.

Mara kadhaa nikiwa natokea chunya najaribu kupiga picha nipate view ya mbeya ila siipati, yaani hakuna angle utakaa upige picha ya jiji. Hakuna jiji pale. Hovyo kabisa . In short there is nothing to show off.
Hizi picha hapa walioiga angle gani? 😆😆😆

Itakuwa uliwahi sukumiwa Mdudu na mtu wa Mbeya wewe sio bure 😁😁😁
Screenshot_20230506-160803_1.jpg
that_mbeya_guy_1680354232894234.jpg
2940500_tzcucom-___CP4r_ptNOB5___-.jpg
2940495_grcityhotelmbeya-___CO1rhybhDdm___-.jpg
Screenshot_20210908-223150.png
that_mbeya_guy_1679744755128476.jpg
 
Zile frame zinafaa mjini kuliko malls. Malls zinafaa nchi za baridi kama indoor shopping wakati wa baridi kali. Malls zilijengwa ili kuhudumia wazungu wa suburbs waliotaka kuishi kitulivu na huku zoning laws zao zikiwakataza kuendesha biashara maeneo ya makazi. Malls zinahitaji watu wawe na usafiri binafsi na ndiyo maana malls zinakuwa na parking lots kubwa kuliko hata jengo lenyewe. Huku tunahitaji maeneo wazi ya biashara kama hizo fremu za mjini. Tunahitaji centre nyingi za biashara.

Kwa ushamba watu wanakimbilia kujenga mamalls huku Afrika bila kujua sababu ya uwepo wake. Mshamba akiona kitu kinang'aa au kikubwa anajua ndiyo kizuri.
Huyo mbumbumbu hawezi elewa,Nilimuuliza Mwanzo kwani zile frame Zina shida gani akatokomea 😜😜
 
Hakuna mji wa kisasa duniani usio na malls , I am wondering unasema malls ni ushamba , sema wewe ndio mshamba. Hujasafiri kuona miji ya wengine duniani ipoje.
Malls ni zaidi ya maduka ya mitumba ya kabwe, malls kuna huduma nyingi kuanzia recreations , michezo ya watoto , huduma za kifedha, cinema halls nk .
Ukute wewe ni miongoni mwa watumishi wa halmashauri ya mji wa mbeya wanaojenga fremu za kupangisha CBD.
View attachment 2656749
Wewe kinachokusumbua ni ushamba,Sasa ni hivi hizo malls kajenge wewe huko kwenye Miji ya Kisasa,Mbeya hawazihitaji Wala hawana shida na ndio maana wawekezaji hawawezi kujenga huo ujinga..

Tena hapo Kabwe Pako safi kabisa sio sawa na Kariakoo kukikomwagwa bidhaa Hadi sehemu ya kupiga hakuna au Mbagala kule Kuna nuka Kila sehemu Sasa umewahi sikia Mbeya inanuka?
 
Back
Top Bottom