Mbalizi ndiyo eneo lililotengwa zaidi kimaendeleo ndani ya Mbeya,Miradi mingi mikubwa inakimbiziwa ukanda wa Uyole,mjini kati panaachwa papwekee pakihifadhiwa kama car parking tuu[emoji848][emoji848]!!!viongozi wanaopelekwa Mbeya hawajui historia ya Jiji Hilo,hata wakiulizwa city centre ni wapi hawajui!!kuanzia wakuu wa mikoa,wakurugenzi wanaopelekwa Mbeya hawaijui historia ya Mbeya,madiwani wote ni mambumbu na wabinafsi,wanafiki.na walafi pia.
Stendi kuu mpya ya kisasa kujengea old airport ni ushahidi mwingine kuwa Hawa jamaa hawaoni mbalii,old airport ni miongoni mwa miji ya zamani,stendi kuu ikiwa pale kutakuwa hakuna sehemu ya mji kupumulia au kutanukia,we fikiria soko kuu Mwanjelwa liko ukanda huohuo,ukanda huo pia una karibia vyuo vikuu vyote vilivyopo Mbeya (M.U.S.T excluded). Idadi kubwa ya watu wataishi ukanda huu na hivyo kuzuia mji kutanuka.STENDI KUU YA KISASA IJENGWE IWAMBI Ili iwe chachu ya kuifanya Mbalizi ikue na kufikia hadhi ya Manispaa.