Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Kwani mbeya kuna watu wanaishi? Mi huwa najua kuna mashamba ya miti tu na maparachichi
 
Kwani mbeya kuna watu wanaishi? Mi huwa najua kuna mashamba ya miti tu na maparachichi
Watu wanaishi Mwanza kwenye dream houses tuu the real rocky City πŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺ πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Mwanza ukienda na ndege ndo utaona jinsi jiji lilivyokaa hovyo
Hata bila ndege,Jiji limezungukwa na vimilima vilivyojaa mabanda ya nguruwe 😁😁😁😁😁

Kila siku nawaambia Mwanza Haina chochote Cha kuicheka Mbeya ,labda Dodoma tuu.
 
Sasa hizo zako ziliota kama yoga au zilijengwa zikakamilika?,Hospital kama hizi kila mkoa zipo wala sio kitu kipya hata lindisfarne,musoma na katavi zipo
 
Hata bila ndege,Jiji limezungukwa na vimilima vilivyojaa mabanda ya nguruwe 😁😁😁😁😁

Kila siku nawaambia Mwanza Haina chochote Cha kuicheka Mbeya ,labda Dodoma tuu.
Bora mwanza mpaka uende milimani sio huko kwenu kuanzia kijiji ni kijijini mpaka mjini ni kijijini hakuna sehemu unakaa unasema hapa ndo mjini pote vululuvululu
 
Chukua mji wenu iweke kwenye mawe hivyo alafu uje uone jinsi palivyo swekeni
 
Bora mwanza mpaka uende milimani sio huko kwenu kuanzia kijiji ni kijijini mpaka mjini ni kijijini hakuna sehemu unakaa unasema hapa ndo mjini pote vululuvululu
Kwani Milima Iko Nje Misungwi si ipo hapo hapo Mjini πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Hakuna Cha Bora tena ni hovyo 5 times than Mbeya.

Mwanza ni limji ya hovyo sana,kinachowabeba ni CBD basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…