Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Hii Huwa mnaitoa wapi? Hata kama mnataka kyiponda basi tumia current picture View attachment 3100519
images (30).jpeg
images (29).jpeg
images (27).jpeg
images (28).jpeg

View ya manispaa ya shinyanga utalinganisha na huu upumbavu?
 
Mwanza ukienda na ndege ndo utaona jinsi jiji lilivyokaa hovyo
Hata bila ndege,Jiji limezungukwa na vimilima vilivyojaa mabanda ya nguruwe 😁😁😁😁😁

Kila siku nawaambia Mwanza Haina chochote Cha kuicheka Mbeya ,labda Dodoma tuu.
 
Hata bila ndege,Jiji limezungukwa na vimilima vilivyojaa mabanda ya nguruwe 😁😁😁😁😁

Kila siku nawaambia Mwanza Haina chochote Cha kuicheka Mbeya ,labda Dodoma tuu.
Bora mwanza mpaka uende milimani sio huko kwenu kuanzia kijiji ni kijijini mpaka mjini ni kijijini hakuna sehemu unakaa unasema hapa ndo mjini pote vululuvululu
 
Nimekustahi ila naona hubebeki.

Mbeya Ina Mitaa ya slums kama hapa Ilemi 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DAG9cPsoX2C/?igsh=MWE2Y2N4bnlkdnM3cA==

Ila huwezi Kuta mabanda ya nguruwe kama haya ya Mwanza wanayoita nyumba,hata aibu hawana 😂😂😂👇👇
View attachment 3100822View attachment 3100823View attachment 3100824View attachment 3100825View attachment 3100826

Chukua mji wenu iweke kwenye mawe hivyo alafu uje uone jinsi palivyo swekeni
 
Bora mwanza mpaka uende milimani sio huko kwenu kuanzia kijiji ni kijijini mpaka mjini ni kijijini hakuna sehemu unakaa unasema hapa ndo mjini pote vululuvululu
Kwani Milima Iko Nje Misungwi si ipo hapo hapo Mjini 😆😆😆😆😆

Hakuna Cha Bora tena ni hovyo 5 times than Mbeya.

Mwanza ni limji ya hovyo sana,kinachowabeba ni CBD basi
 
Back
Top Bottom