Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Niko mbeya hapa nimehangaika kutafuta usafiri wa Bolt kumbe hii huduma haipo na wala sijashangaa make huduma hii siyo ya vijijini ni ya majiji tu, Majiji yote ya ukweli hii huduma ipo, na sasa mpaka morogoro ipo. dah! ila nimeteseka mno kutembea umbali mrefu kufuata tax zilipo😭😭
 
Ushamba wa kukariri umekuzidi ndio maana unaongea pumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…