Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Hata Tanzania haina hadhi ya nchi
 
Lakini jinsi unavyozidi kupambana na mtu wa chini au mpinzani dhaifu ndio jinsi unavyozidi kujishusha na kujiabisha, kuna battle za kukomaa na kuna battle za kijinga kama hizi za kupuuzia.
Kweli kabisa mtu ana post vinyumba vya Nyashishi na Nyamadoke halafu yeye anaona ni gorofa nzuri kwa mbeya 😜😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…