Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa


Basi msipeleke wasanii mchwara kila siku. Labda ni sababu tosha ya kubadilisha uongozi
 
Mbeya bado Iko nyuma sana,mji haujapangwa kabisa,uchafu kuanzia wa nyumba ,bara bara na mavumbi yameenea Kila mahali.Hotel tunazoweza kuita five star kama sio four star hazizidi tatu
1.Mdope hotel ,2.Royal Mgwasi na 3.Eden highland..kiufupi Mbeya inahitaji kupangwa upya.Slums zinachafua mkoa .Mji upangwe na kuwe na miongozo ya kujenga..sio Kila mtu akiamka anakandika udongo anajenga nyumba.
 
πŸ”¨πŸ”¨

View: https://www.instagram.com/p/DAvBaQgIuI0/?igsh=MW1vcHMzdjl4dmN2eA==
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…