Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Mbeya mnawaonea tu hawana ubavu wa ku battle na mwanza hao, naomba hii thread tuachane nayo,
 
Nairobi, Dsm, Lagos na miji mingine ya Africa ina mitaa ambayo niya zamani imeshakua kama slums,, Mbeya ni slums mpaka city centre, disorganized town vumbi kila kona
90% of Mwanza is Big Slum 😁😁
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unakuta takwimu zinasema Mbeya ni mkoa tajiri, hivi hizi takwimu huwa zinatengenezwa na wakina nani wenye vichwa mandazi.
πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ‘‡πŸ‘‡

Lazima uone aibu kuleta takwimu najua huwezi leta πŸ˜†πŸ˜†
 

Wenyewe kazi yao ni kumtukana Tulia, badala ya kumpa malengo na majukumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…