Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

M

Mbona Arusha na kaskazini kwa ujumla ilikua ngome kuu ya chadema lakn maendeleo yapo kawa kawaida?,
Kule Kuna Utalii,Sasa huko Mbeya Kuna kipi Cha maana Cha kuleta pesa Tanzania Hadi Serikali ipaparikie Nako?
 
Sensa haijawahi sema uongo na namba hazidanganyi πŸ˜‚πŸ˜‚ Mikoa 11 Yenye Nyumba Duni Tanzania: Zimejengwa na Kuezekwa kwa Udongo, Miti, Mabanzi na Nyasi. Imo Mikoa Maarufu ya Arusha, Kagera na Mwanza
 
Sensa imeumbua watu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mikoa 10 inayoongoza Kwa Ujenzi Holela (Squatters) Kwa Tanzania
 
Ona hii kiazi ya juzi😌
Mbeya vijumba vya tope vimejaa mji mzima na hata zenye cement ni plasta almost zote ni tofali za kuchoma

Mbeya ni pabaya kuliko hata Dodoma
BRT mbeya?
Unaumwa ny'a ww
Kwani unafikiri ni mji gani unaushinda dodoma kwa kupangwa? Na ni kwa sababu dodoma serikali imewekeza nguvu huko bila ya hivyo isingekuwa na utofauti na kina singida. Kuweni na heshima mbeya ni jiji kongwe wamesoma watu wengi maarufu, na mshughuri, ulikuwa mji muhimu sana kwenye harakati za ukombozi wa mataifa ya kusini mwa jangwa la sahara. Na ni jiji since way back, kitu gani unapata dar mbeya hupati ila mmejaa ulimbukeni tu hamjui hata vigezo vya kuwa jiji?
 
Ungetembea mikoa ya mingi Tanzania usingewahi kusema ujinga Kama Huu. Unaifahamu kigoma, katavi, mtwara, simiyu, shinyanga, nk?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…