ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Umepoteza focus Kwa aibu kubwa 😁😁Unapimwa kwa idadi ya kende.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umepoteza focus Kwa aibu kubwa 😁😁Unapimwa kwa idadi ya kende.
Uchumi ni huu na sio kelele kama za mbwa koko mwenye njaaUmepoteza focus Kwa aibu kubwa 😁😁
2024 -2019=5 years ago..Outdated minded and poor guy from Local Mwanza 😆😆😆😆Uchumi ni huu na sio kelele kama za mbwa koko mwenye njaa
View attachment 3125048
Huko Mbeya wanakopaparikia Wapinzani wasio na faida nani ahangaike Nako? Wafakula wanakopeleka mboga, kiufupi wawadai maendeleo ChademaNaamini watu wenye mamlaka watapitia huu uzi waxchukue maoni. Watu wamefunguka sana
Mbona Arusha na kaskazini kwa ujumla ilikua ngome kuu ya chadema lakn maendeleo yapo kawa kawaida?,Huko Mbeya wanakopaparikia Wapinzani wasio na faida nani ahangaike Nako? Wafakula wanakopeleka mboga, kiufupi wawadai maendeleo Chadema
Kule Kuna Utalii,Sasa huko Mbeya Kuna kipi Cha maana Cha kuleta pesa Tanzania Hadi Serikali ipaparikie Nako?M
Mbona Arusha na kaskazini kwa ujumla ilikua ngome kuu ya chadema lakn maendeleo yapo kawa kawaida?,
Mbeya haiwezi shindana na Mikoa ya mafukara kama Mwanza na wengine,mnaishi kwenye Mabanzi harafu mshindane na Mbeya? Mikoa 11 Yenye Nyumba Duni Tanzania: Zimejengwa na Kuezekwa kwa Udongo, Miti, Mabanzi na Nyasi. Imo Mikoa Maarufu ya Arusha, Kagera na MwanzaMbeya mnawaonea tu hawana ubavu wa ku battle na mwanza hao, naomba hii thread tuachane nayo,
Sensa haijawahi sema uongo na namba hazidanganyi 😂😂 Mikoa 11 Yenye Nyumba Duni Tanzania: Zimejengwa na Kuezekwa kwa Udongo, Miti, Mabanzi na Nyasi. Imo Mikoa Maarufu ya Arusha, Kagera na MwanzaMoja kwa moja kwenye mada;
Wenyewe wanaita green city, hii sio kweli . Jina linatakiwa liwe Dusty City.
Hivi pamoja na Hali ya hewa nzuri kitu gani kinazuia halmashauri ya mji kuwa na mipango ya upandaji wa miti ?
Mji wa Mbeya ni kati ya miji mikubwa (Kwa eneo na idadi ya wakazi) Lakini maisha ya mbeya kwa ujumla ni typical kijijini. No order , hakuna ustaarabu, chaotic , vumbi, makelele , watu wanapita na magari ya matangazo ya kila aina Hadi ya misiba. Hawa NEMC badala ya kudeal na kidimbwi na kitambaa cheupe kwanini huku hamuoni?
Mbeya hakuna usafiri wa Taxi , Bajaji ni nyingi kuliko abiria na hazina route yaani kokote anaenda. Daladala routes ni mbili tu Mjini Mbalizi au Mjini Uyole. Ikifika saa tatu usiku basi wewe daka boda uende uendako.
Mbeya hakuna hadhi wala mwonekano wa jiji, tofauti kabisa na Arusha au Mwanza, Mji mzima hakuna hata sehemu ya kufanya matembezi ? Mbeya nyumba za tope zimetapakaa kuanzia uyole, sae, hadi soweto makunguru hadi nzovwe na iyunga.. huko mbalizi ni balaa lingine.
Inashangaza kuona 2023 katikati ya mji serikali inajenga fremu za kupangisha. That’s so annoying.
Why not some modern Structure like a shopping mall?
Hivi mna uhakika hawa viongozi wa halmashauri ya mji wa Mbeya walienda shule kweli? Miaka kadhaa ya nyuma kulikuwa na Fursa ya kujenga Soko la kisasa au shopping mall pale mwanjelwa jamaa wa huko halmashauri ya mji wakaja na lidude la kizamani (structure nzee ya miaka ya 1700s huko) tena kwa mabilioni ya pesa, baada ya pale SIDO kuungua tukajua watakuja na kitu cha tofauti, wapi. Yaleyale.
Picha: Mwonekano wa juu wa mji wa mbeya.
Fremu za Biashara zinazojengwa na Halmashauri ya jiji la mbeya katikati ya mji (CBD)
Jengo la soko la mwanjelwa lililojengwa kwa gharama kubwa (bilioni 60+) pesa za walipakodi
Eneo la kabwe, hapa jioni hugeuka gulio.. hapa unahitaji tu kuwa na bidhaa..nenda kabwe then mwaga chini uza. Vurugumechi.
Miundombinu ni duni sana, duni mno . Barabara ni moja tu ya TAZAM Highway inayopita mjini ambayo ni chakavu sana na ni moja (Sio Dualed). Mbeya si rafiki wa watembea kwa miguu sababu utagongwa muda wowote kama sio na bajaji basi bodaboda. Hakuna jogging Mbeya.
Kwa upande wa huduma za Afya mbeya pako [emoji817]. Mengine ni hovyo kabisa..
Ushauri:
1. Mradi mpya wa barabara ya njia nne toka uyole hadi Uwanja wa ndege ufanyike njia sita maeneo ya Mjini kupunguza foleni, na pia kuwe na provisions za watembea kwa miguu, pale mafiati kuwe na interchange kurahisisha traffic na angalau tusifikirie kubomoa na kujenga tena kwa miaka 15 ijayo.
2. Zijengwe nyumba za kisasa za makazi sehemu kama airport ya zamani. Pia kile chuo cha kilimo kitoe yale mashamba kwa NHC na zijengwe affordable houses nk. Mashamba hayatakiwa mijini. Nchi ina mapori mengi sana
3. Upandaji wa miti iwe ni kipaumbele. Walau kupunguza lile vumbi mjini. Watoto wa shule za misingi na sekondari can easily do this bila hata gharama.
5. Think Big. Jiji linaweza kuanza kufikiria kuwa na reli nyepesi ya abiria toka uwanja wa ndege wa Songwe hadi Uyole, na kubranch pale Meta ikaenda hadi mjini na kuja kutokea mwanjelwa. Kwa Jografia ya mji wa mbeya reli hii itarahisisha usafiri kwa zaidi ya 80% ya mahitaji ya usafiri wa mjini.
6. Maeneo ya wazi yawepo. Hii in muhimu sana.
NB: Mimi sio mwandishi wa wa habari.
Sensa imeumbua watu 😂😂😂 Mikoa 10 inayoongoza Kwa Ujenzi Holela (Squatters) Kwa TanzaniaMoja kwa moja kwenye mada;

Watu wanaushamba tu marekani wana nyumba nyingi sana za mbao, Kwani ni maskini? Afu unaweza kuta anapiga kelele Kumbe kwao simiyuNi sawa nyumba za tope zile za kizamani bado zipo nyingi mjini. Una mbishi jamaa tu ila kuongea na kushauri vitu vya ukweli kabisa. Namuunga mkono.
We Ushawahi kwenda lini kufanya shopping kwenye malls?Uliyosema yote ni kweli..yani jiji halina hta shopping mall?..weekend cc wa maisha ya kawaida tunajazana Mwailubi na mbeya pazuri tu..maana city pub na carnival pashajifia kiaina!!
Kwani unafikiri ni mji gani unaushinda dodoma kwa kupangwa? Na ni kwa sababu dodoma serikali imewekeza nguvu huko bila ya hivyo isingekuwa na utofauti na kina singida. Kuweni na heshima mbeya ni jiji kongwe wamesoma watu wengi maarufu, na mshughuri, ulikuwa mji muhimu sana kwenye harakati za ukombozi wa mataifa ya kusini mwa jangwa la sahara. Na ni jiji since way back, kitu gani unapata dar mbeya hupati ila mmejaa ulimbukeni tu hamjui hata vigezo vya kuwa jiji?Ona hii kiazi ya juzi😌
Mbeya vijumba vya tope vimejaa mji mzima na hata zenye cement ni plasta almost zote ni tofali za kuchoma
Mbeya ni pabaya kuliko hata Dodoma
BRT mbeya?
Unaumwa ny'a ww
Okay tuondoe Mbalizi, tunabaki na Airport , uyole hadi igawilo, ilemi , isanga, meta, mabatini, soko matola , iganzu, gana, kote huko ni mavumbi mavumbini, mama Joni , ilomba, isyesye, uwata, kote huku uswazi.
Mara kadhaa nikiwa natokea chunya najaribu kupiga picha nipate view ya mbeya ila siipati, yaani hakuna angle utakaa upige picha ya jiji. Hakuna jiji pale. Hovyo kabisa . In short there is nothing to show of
Ungetembea mikoa ya mingi Tanzania usingewahi kusema ujinga Kama Huu. Unaifahamu kigoma, katavi, mtwara, simiyu, shinyanga, nk?Okay tuondoe Mbalizi, tunabaki na Airport , uyole hadi igawilo, ilemi , isanga, meta, mabatini, soko matola , iganzu, gana, kote huko ni mavumbi mavumbini, mama Joni , ilomba, isyesye, uwata, kote huku uswazi.
Mara kadhaa nikiwa natokea chunya najaribu kupiga picha nipate view ya mbeya ila siipati, yaani hakuna angle utakaa upige picha ya jiji. Hakuna jiji pale. Hovyo kabisa . In short there is nothing to show off.