Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Mda Huwa ni Msemaji kweli,mlikuwa mnasema hivyo hivyo kwamba Mbeya haiwezi Jenga njia 4 Sasa km 34 ziko under construction na nyingine km 215 igawa Tunduma inakuja ndio itakuwa dual carriage ya kwanza Trunk Road Tanzania.
Hatujabisha ila BRT huo ninuongo
 
Ukubwa wa old airport ni WA kiaje mkuu?maeneo tupu au makazi ya watu?!,wanaoweka stand nje ya mji wanamawazo mapana kuliko wale wanaokusanya project zote katikati ya mji kama wafanyavyo Mbeya,Mbalizi siyo sehemu ya Mbeya Jiji lakini ni ndani ya wilaya ya Mbeya,pia ni umbumbu tu wa viongozi wa mkoa kutoweza kupambana na kuipa hadhi Mbalizi kuwa halmashauri ya Mji,kupambana ni pamoja na kuset miundombinu mikubwa Karibu na Mbalizi Ili kuukuza mji huu.
Tatizo lako unawaza stendi ikijengwa IWAMBI wewe mkazi wa Ituha itakuwa mbali kufika😎,bila kujua kuwa Kuna stendi ya 88 pale,ko hutapaswa kufika stendi kuu mara Kwa mara!huo ubinafsi wenu ndiyo unaoirudisha Nyuma Mbeya

Kwa Sasa sidhani kama Kuna kata kubwa kuizidi IWAMBI Kwa eneo lililotupu ndani ya Jiji la Mbeya,kata kubwa tupu ni pamoja na Kalobe,Itende,Swaya,Mwasanga .

Waulize watu wa Mwanza Ile stand mpya wakati inajengwa kama palikuwa mjini pale,pia hata hii ya Mbezi(Magufuri)hapakuwa mjini kama uonavyo Leo pamechangamka.

Viongozi wa Mbeya wameshindwa land management,Angalia vyuo kama SAUT vilivyojibana mjini ilhali Kuna maeneo Mengi tu ndani ya Jiji yapo tupu,hongera kwao CBE wamejitokea nje kabisa ya mji(chunya road hukooo),pia ADEM nmeona jengo lao IWAMBI pale,(safi kabisa).

Changia chanya Kwa maendeleo ya mkoa wa Mbeya🙏🙏
 
Watanzania ni watu wa hovyo,huwa hawapendi kuambiwa ukweli nashangaa humu watu wa kutoka huko mbeya wanavyotetea-na ndio maana hatuendelei kamwe.
Yani lile jiji LA Mbeya ni Upumbavu wa karne,hapafai kabisa kuitwa jiji-kila kitu ni hovyo.
Mimi home ni Mbeya lakini siwezi kusifia uchafu Mimi,nmetembea miji mingine ya nchi hii mbona wanajitahidi kuipangilia!hapo jirani zao Sumbawanga tuu imeiacha mbali Mbeya Kwa mpangilio mzuri,now nipo Tabora,pia huwezi fananisha mpangilio wa mji wa Tabora na Mbeya,hata Njombe wakituliza akili watatushangaza😔😔.

Mbeya tuna eneo kubwa sana,mipango miji wanasinzia.
 
Mbeya, vumbi kama lote, hakuna vivuko sehemu nyeti kama kabwe pale ni vurugu tupu za malori,bajaji, bodabada na waenda kwa miguu

City center ya mbeya haieleweki

Moshi imepangika vizuri mjini mara elfu 10 ya mbeya

I concur with you
 

Hakika, Stendi kuu kujengwa pale eneo la airport ni ushahidi tosha kuthibitisha incompetence ya viongozi wa ule mji. Shida iko kwa safu nzima ya uongozi wa halmashauri.
 
Ukiacha mpangilio Kuna jipya jingine umeliona huko kwingine?

Haya umetaja Tabora,Mwanza Ina mpangilio gani ukiacha CBD?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…