Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ona mbuzi mwingine huyu 😆😆😆😆Kwani songwe ni mkoa wa mbeya wewe naye
Ukweli upi? Bado kiaje? Majiji yanakuaje?MBEYA na TANGA bado sana kuwa Majiji aisee
Tuwe wakweli
Majiji yanatakiwa kuwaje? ndugu afisa mipango miji!MBEYA na TANGA bado sana kuwa Majiji aisee
Tuwe wakweli
Majiji makubwa kwake kama yapi? 😃😃😃😃Tatizo inalazimishwa kupambanishwa na majiji ambayo ni makubwa kwake.
Hawezi kukujibu,atakwambia miundombinu,muulize Mwanza na Arusha Kuna miundombinu ipi ya kuzidi Mbeya lazima asepe 😂😂Majiji yanatakiwa kuwaje? ndugu afisa mipango miji!
Kuna Mitaa ambako hayo magorofa yanatakiwa kujengwa ila sio Kila mtaa uliko karibu na Barabara kuu.Ushauri wa member Game over uzingatiwe , Jiji la mbeya na wenye nyumba zilizo karibu na Bara bara kuu njia 4 wa jiandae kuanza kujenga maghorofa toka uyole Hadi mbalizi asiye na uwezo auze plot yake atatute maeneo ya pembezoni ya jiji. Hakuna namna Mbeya nyumba za udongo ziondoke barabarani kama ilivyo kuwa kariakoo miaka ya 70/80. Mashamba ya chuo cha kilimo Uyole yalindwe sana yabakie kwa matumizi ya chuo tu. Hata London kwa Malkia Elizabeth pana mashamba.
Kama walio na maziwa mdomoni mwalo wanakosoa maji sembuse Mbeya inayotegemea visima na vijito?changamoto ya maji vipi mbeya we unaona ni sahii watu kukosa maji hasa jiji kama mbeya
Fala wewe hujui kitu harafu umekalia ubishi tuu.Mkoa wa songwe we nyoko usitusumbue
Lami zilizojaa huko Mwanza kunakonuka shombo ya Samaki ziko wapi? Onyesha hata uwanja kama mnao 😂😂😂😂Mji umejaa vumbi na bajaji na bara bara ya njia nne imekuwa stori, wewe unaongelea mbeya ipi kwani
Fala wewe hujui kitu harafu umekalia ubishi tuu.
Songwe ni jina lilipewa uwanja kabla ya Mkoa kugawanywa Kwa heshima ya mto Songwe ila uwanja uko ndani ya mipaka ya Mbeya ndio maana Kuna mchakato wa kubadili jina Ili kuondoa huu mchanganyiko. 👇👇
View: https://youtu.be/HsGdqoF1gwU?si=mha2dz4XYQpgo_se
Lami zilizojaa huko Mwanza kunakonuka shombo ya Samaki ziko wapi? Onyesha hata uwanja kama mnao 😂😂😂😂
Sio tuu Barabara za Mitaa zinajengwa Bali Hadi njia 4 zinajengwa utakuja kupiga picha Mbeya 👇👇
View: https://youtu.be/UAUyrlZWsQY?si=Jn6URP7xtPjOMMg4
Haina tofauti na WA Songea 😆😆Uwanja upo we boya
Uwanja Gani unao maanisha hapa?. Kwa ni wa ndege tunao, wa mpira vipi vitatu gwambina, nyamagana na ccm KIRUMBA, viwanja vya kisasa vya michezo mbalimbali vipo.Haina tofauti na WA Songea 😆😆
Umemaliza Kila kitu..kiufupi Mbeya ni mji wa Mzee (Wa kizamani) hili tunatakiwa tukubali..watu wamejenga Jenga hovyo sana bila mpangilio na bila standard .Town Kuna nyumba nyingi za tofali za udongo mbichi.Mkoa mzima Swimming pool sidhani kama zinazidi tatu.Bado jiji lipo analogy.Mbeya ukiitaja usijaribu kulinganisha na either mwanza, Arusha, Dodoma au dar es salaam. Tuiache mbeya iitwe Jiji kwa namna yake na si kwa mifanano kama unavyofikiri
1. Hotels and accomodation inapigwa
2. Private hospitals inapigwa
3. Mtandao wa bara bara za lami inapigwa
4. Idadi ya viwanda inanyoloshwa
5. Idadi ya shule binafsi inagongwa
6. Idadi ya watu inabutiwa
7. Viwanja vya mpira inapigwa
8. Viwanja vya ndege inapigwa
9. Majengo marefu na mapana inapigwa
10. Idadi ya vyuo inapigwa
11. Everything iko down
12. Stand za mabasi inapigwa
13. Soko kuu inabutuliwa
14. Pedestrian bridge inapigwa
15. Suburbs za maana inapigwa
16. Malls inapigwa
17. Angle uliyosimamia napo umepigwa
18. Mkeka mrefu sana niishie hapo kwanza inapigwa 😄😄😄
Umenena vyema kamandaMpaka mwaka huu 2024 mamlaka bado zinaruhusu ujenzi wa tofali mbichi tena jiji I..ndio mana mbeya Kuna slums nyingi ..Mtu akiamka anakandika tofali zake mbichi kashapata nyumba.Mbeya inatakiwa ihame huko kama kweli inataka kuwa na hadhi ya jiji.Fensi nyingi mbeya zimejaa manyasi Kwa sababu ya tofali mbichi..yaani very Local.Tena mnaopiga kelele kuwa mnaipenda mbeya pigeni kelele design ya stendi mpya ya mabasi inayotaka kujengwa ibadirishe..Otherwise mbeya ndio litakuwa jiji kituko.