Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Majiji yanatakiwa kuwaje? ndugu afisa mipango miji!
Hawezi kukujibu,atakwambia miundombinu,muulize Mwanza na Arusha Kuna miundombinu ipi ya kuzidi Mbeya lazima asepe 😂😂

Jinga lingine linabisha hata halijui kwamba Uwanja wa Ndege wa Songwe uko Mbeya 🤣🤣
 
Ushauri wa member Game over uzingatiwe , Jiji la mbeya na wenye nyumba zilizo karibu na Bara bara kuu njia 4 wa jiandae kuanza kujenga maghorofa toka uyole Hadi mbalizi asiye na uwezo auze plot yake atatute maeneo ya pembezoni ya jiji. Hakuna namna Mbeya nyumba za udongo ziondoke barabarani kama ilivyo kuwa kariakoo miaka ya 70/80. Mashamba ya chuo cha kilimo Uyole yalindwe sana yabakie kwa matumizi ya chuo tu. Hata London kwa Malkia Elizabeth pana mashamba.
Kuna Mitaa ambako hayo magorofa yanatakiwa kujengwa ila sio Kila mtaa uliko karibu na Barabara kuu.

Kwanza Mitaa yote ya Barabara kuu ya Mbeya ni maeneo ya biashara,makazi na viwanda mfano Uyole so huwezi lazimisha mambo ambayo haya make sense.

Nitajie Mji wowote hapa Tanzania ambao imejengwa magorofa Mwanzo mwisho kisa njia 4,tuanze na Dar 😬😬.

Mwisho Hilo la mashamba kubakia ndani ya Jiji nalipinga ni upuuzi ,Jiji lenye Changamoto ya eneo na limezongwa na Milima haikutakiwa mashamba kuwepo mjini.

Kwa nini mashamba yasipelekwe Songwe au kule Nyuma ya MUST? Kwanza hata lile eneo la JKT pale Kuna eneo kubwa sana limekaa kama pori halitumiki.
 
changamoto ya maji vipi mbeya we unaona ni sahii watu kukosa maji hasa jiji kama mbeya
Kama walio na maziwa mdomoni mwalo wanakosoa maji sembuse Mbeya inayotegemea visima na vijito?

Anyway Mama SSH na dada wa connection wamedhamilia kumaliza shida ya Maji Jijini Mbeya kwa.kuleta mradi utakaodumu miaka 40 ijayo.

Sikiliza maelezo ya mradi huu hapa 👇👇

View: https://youtu.be/W5iMD0Amrb0?si=JTKsrBLkHWpMZ-LI

View: https://youtu.be/wJhMIIHtUjo?si=2Em1Z2BeEhap0Zjj
 
images (22).jpeg

images (23).jpeg

images (25).jpeg

Hebu angalia kama songwe Ina miguso ya maana kama hiyo
Na sasa tuko hapa
IMG-20240913-WA0058.jpg
 
Mbeya ukiitaja usijaribu kulinganisha na either mwanza, Arusha, Dodoma au dar es salaam. Tuiache mbeya iitwe Jiji kwa namna yake na si kwa mifanano kama unavyofikiri
1. Hotels and accomodation inapigwa
2. Private hospitals inapigwa
3. Mtandao wa bara bara za lami inapigwa
4. Idadi ya viwanda inanyoloshwa
5. Idadi ya shule binafsi inagongwa
6. Idadi ya watu inabutiwa
7. Viwanja vya mpira inapigwa
8. Viwanja vya ndege inapigwa
9. Majengo marefu na mapana inapigwa
10. Idadi ya vyuo inapigwa
11. Everything iko down
12. Stand za mabasi inapigwa
13. Soko kuu inabutuliwa
14. Pedestrian bridge inapigwa
15. Suburbs za maana inapigwa
16. Malls inapigwa
17. Angle uliyosimamia napo umepigwa
18. Vyuo vikuu inatandikwa
19. Upana wa mji inapigwa
20. Idadi ya shule binafsi inapigwa
21. Idadi ya watu wanaomuliki magari inapigwa
22. Kipato Cha mtu mmoja mmoja inapigwa
23. Mkeka mrefu sana niishie hapo kwanza napo inapigwa 😄😄😄
 
Mbeya ukiitaja usijaribu kulinganisha na either mwanza, Arusha, Dodoma au dar es salaam. Tuiache mbeya iitwe Jiji kwa namna yake na si kwa mifanano kama unavyofikiri
1. Hotels and accomodation inapigwa
2. Private hospitals inapigwa
3. Mtandao wa bara bara za lami inapigwa
4. Idadi ya viwanda inanyoloshwa
5. Idadi ya shule binafsi inagongwa
6. Idadi ya watu inabutiwa
7. Viwanja vya mpira inapigwa
8. Viwanja vya ndege inapigwa
9. Majengo marefu na mapana inapigwa
10. Idadi ya vyuo inapigwa
11. Everything iko down
12. Stand za mabasi inapigwa
13. Soko kuu inabutuliwa
14. Pedestrian bridge inapigwa
15. Suburbs za maana inapigwa
16. Malls inapigwa
17. Angle uliyosimamia napo umepigwa
18. Mkeka mrefu sana niishie hapo kwanza inapigwa 😄😄😄
Umemaliza Kila kitu..kiufupi Mbeya ni mji wa Mzee (Wa kizamani) hili tunatakiwa tukubali..watu wamejenga Jenga hovyo sana bila mpangilio na bila standard .Town Kuna nyumba nyingi za tofali za udongo mbichi.Mkoa mzima Swimming pool sidhani kama zinazidi tatu.Bado jiji lipo analogy.
 
Mpaka mwaka huu 2024 mamlaka bado zinaruhusu ujenzi wa tofali mbichi tena jiji I..ndio mana mbeya Kuna slums nyingi ..Mtu akiamka anakandika tofali zake mbichi kashapata nyumba.Mbeya inatakiwa ihame huko kama kweli inataka kuwa na hadhi ya jiji.Fensi nyingi mbeya zimejaa manyasi Kwa sababu ya tofali mbichi..yaani very Local.Tena mnaopiga kelele kuwa mnaipenda mbeya pigeni kelele design ya stendi mpya ya mabasi inayotaka kujengwa ibadirishe..Otherwise mbeya ndio litakuwa jiji kituko.
 
Mpaka mwaka huu 2024 mamlaka bado zinaruhusu ujenzi wa tofali mbichi tena jiji I..ndio mana mbeya Kuna slums nyingi ..Mtu akiamka anakandika tofali zake mbichi kashapata nyumba.Mbeya inatakiwa ihame huko kama kweli inataka kuwa na hadhi ya jiji.Fensi nyingi mbeya zimejaa manyasi Kwa sababu ya tofali mbichi..yaani very Local.Tena mnaopiga kelele kuwa mnaipenda mbeya pigeni kelele design ya stendi mpya ya mabasi inayotaka kujengwa ibadirishe..Otherwise mbeya ndio litakuwa jiji kituko.
Umenena vyema kamanda
 
Back
Top Bottom