1.Kwa hoteli si tukianza ku post ukakimbia wewe? Mwanza haiwezi kumshinda Mbeya Kwa chochote zaidi ya Umaskini.
Arusha tuu ndio anaweza babaisha Mbeya kwenye Hoteli.
2.Private hospitals nilikuwa wa kwanza ku post nikasema leta ukakimbia ππ
3.Lami gani mlizonazo nyie za kuzidi Mbeya? Hapa kwenye Lami Dom tuu ndio anaweza babaisha Mbeya
4.Mwanza Kuna viwanda kuzidi Mbeya? Tumia akili basi.
5.Shule imezaliwa Mbeya ,huko Mwanza is Slum mlianza lini kusoma nyie?
6.Hapa Mwanza Mnatuzidi Mbeya idadi ya watu maskini
7.Mpira wenyewe hamjui,tuna Timu 3 Ligi kuu ,Mwanza Ina katimu 1 ka mbeleko ya siasa ππ
8.Kuwa na aibu,Mwanza Kuna uwanja wa ndege kweli wa kulinganisha na Songwe Airport? Kichekesho π€£π€£
9.Majengo ya mbeleko ya serikali ,Mbeya Kuna majengo ya matajiri
10.Kituko kingine hiki,tangu lini mkaanza kusoma muache kuvua dagaa? Leta orodha ya Vyuo Vikuu tulinganishe.
11.-14 Umeandika pumba
15.Tuna Uyole,Mbalizi nk,weka hapa Suburb zenu za maana kuzidi hizo
16,17,19 umeandika pumba.
18.Mwanza hakuna hata Chuo Kikuu chenye hadhi ,Mbeya viko zaidi ya 4 π€ͺπ€ͺ
19-23 umeandika pumba ,Mbeya per Capita ni 4.4,,Mwanza ni 3.2 harafu unasemaje?
Tumia akili wewe kilaza.ππ
View: https://www.instagram.com/p/DAF_FmINKKG/?igsh=MWhsZTE5eDBpdjk3aw==