Michael Uledi
Senior Member
- Mar 29, 2023
- 132
- 323
Mahakama hazipo huru?Yule.Mama Dean amemshushua Mama Samia kwamba uteuzi wake kwa kumuongezea jaji Mkuu Juma ulikuwa batili na still yupo Ofisini.Mahakama huwa zinasubiri maelekezo
Au mkishinda ninyi mahakama uwa huru mkishindwa mahakama sio huru.
Kada wa Chadema Nyagali Mdude alishinda kesi dhidi ya Serikali na Mahakama kumuachia huru lakini Serikali haikusema Mahakama sio huru.
Akili za Chadema ni matope aisee.Subilini matokeo na mkubali matokeo.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app