masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Mbeya 2016
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa ndipo ilipo stand ya Mbeya kwa sasaView attachment 2592060
Mbey at the turn of the century, 1900s
Kipo kilima kimoja Mbeya kinatajwa sana kwa ajali za barabaraniKile kilima chinjachinja cha Mbeya au🤔
Kulikuwa na Bwana mmoja anaitwa Masuba, na mwingine Mwigeka, alikuwa na mbwa wengi sana Mhehe yùleNyuma ni mlima Mbeya, Loleza peak.
Nimekaa mitaa hiyo nikiwa kinda, 1961-63.
Kuna sababu nyingi. Kwenye miji mikubwa huwa hivyo. Hata Dar wazaramo wanakimbia mjini. Wagogo huwakuti Dodoma mjini. Miji kama Arusha na Mwanza utakuta wenyeji mjini kati wachache sana. Nenda Moro utakuta Waluguru wanakimbilia pembezoni.
Kyungururu