Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi ni titi mkuu. Ha ha haHilo mnaloliita Ziwa ukiliangalia kwa macho hata upana wa mita 100 halifiki
Ha ha ha "Kimbotela" umenikumbusha enzi zangu za Mgodini kule Chunya.Udogo wake ambao unafanya ionekane kama kimbotela tu
Chunya ipi hiyo?Ha ha ha "Kimbotela" umenikumbusha enzi zangu za Mgodini kule Chunya.
MakongolosiChunya ipi hiyo?
Chunya ya Saza, Makongorosi, Godima, Soweto, Mapogoro au Chunya ya Shoga?
Huku utundu tu, mauno ya kishetani nenda MtwaraaMauno feni
hili daraja nilipita hapo ukifika upande wa pili unahisi bado unapaView attachment 2484048
Kyela: hii ni wilaya iliyo kusini mwa mkoa wa Mbeya. Hii wilaya inasifika sana kwa kilimo cha mpunga,kakao,nk ...hali ya hewa na nzuri kukiwa na joto la wastani pamoja na mvua za maana kuanzia mwezi wa pili mwishaon hadi mwezi wa nne. Asilimia kubwa ya wakaaji wa hii wilaya ni wakulima hasa mpunga pmj na kakao. Pia kuna ziwa Nyasa watu wanafanya uvuvi pamoja na utalii ktk ziwa hili kuna Matema beach, mwamunyange beach nk., pia biashara kwa sana ktk wilaya ya kyela ambapo wafanya biasha kutoka Malawi hufika wilaya ya kyela kununua badhaa,,,,wakaaji wa wilaya ya kyela ni wakarimu sana.
Nyuma ni mlima Mbeya, Loleza peak.
Kile kilima chinjachinja cha Mbeya au🤔