Mbeya is Awesome. Hata kwenu pia ni kuzuri, kusifie huku ukisindikiza na picha za chombeza

Mbeya is Awesome. Hata kwenu pia ni kuzuri, kusifie huku ukisindikiza na picha za chombeza

World's most astonishing football pitch

1673927775075.png
 
Dah nani mwenye picha zile za juu za Nyumba ya Profesa Mwandosya? Dah kuna watu wanaishi pazuri
 
World's most astonishing football pitch

View attachment 2484189
Hapo ziwani panafaa sana kuanzisha mashindano ya Kayaking,. Buji ukitaka kujua Mbeya nzuri pitia hiki kitabu sura ya Safari yangu ya ziwa Nyasa. Wazungu walipofika kwa Wakonde walikuta nchi nzuri ajabu, na wenyewe Wakonde wakijidai kuwa hakuna nchi nzuri kama yao. Walikuta jamaa wanajiamini hawanyenyekei mzungu wala nani. Wakaenda Ukinga wakaingia Usafwa, wakakuta nchi nzuri msitu mtupu. Ukiingia jua halionekani. Wakaenda Utengule kwa Merere. Kipindi hicho Merere kapigwa na Wahehe kakimbilia Usafwa, halafu mzinguzi mno 🙂 Akiambia muda wa kukutana hatokei🙂🙂
Wakapita hadi Unyiha kwa kina Nzunda. Hakuna mkoa mzuri kama Mbeya.
 

Attachments

Kuna sababu nyingi. Kwenye miji mikubwa huwa hivyo. Hata Dar wazaramo wanakimbia mjini. Wagogo huwakuti Dodoma mjini. Miji kama Arusha na Mwanza utakuta wenyeji mjini kati wachache sana. Nenda Moro utakuta Waluguru wanakimbilia pembezoni.
Sawa mkuu nimekusoma
 
Always pwan ndo kila kitu iwe lindi au mtwara au kikwa au dar au tanga pwani ndo paukweli iwe london iwe miji yote yenye bandar
 
Nazipenda nyanda za juu ika kutembea kuishi asee beach boys tupo hapa huu ukanda
 
Back
Top Bottom