Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #81
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah wewe upo mtaani kwangu kabisa soko matola.Ongeza nyama nyama mkuu kuna vingi hujavieleza... Nimekaa hapa kwa Sokomatola nafuatilia huu uzi
Umetisha mkuu!Mbeya ni mkoa uliobarikiwa kwa baraka za mwilini na baraka za rohoni. Mbeya ni njema atakaye na aje.
Mbeya ndio mkoa ambao umekuwa ukiongoza kutoa timu nyingi zaidi zinazoshiriki Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Miongoni mwao ni Tukuyu Stars (Banyambala), Mecco, Tiger, Mbeya City, Mbeya Kwanza na Ihefu.
View attachment 2484020
.
Mkoa wa Mbeya umekuwa mchangiaji mkubwa wa chakula nchini. Mchele, mahindi, ndizi, Makatapera (parachichi), viazi na vitu vingine vizuri mdomoni na mwilini hutoka Mbeya.
View attachment 2484021
Mbeya ndio nyumbani kwa wasanii, kuanzia wanamuziki, waigizaji, magwiji wa mitindo, urembo, uchekeshaji na vipaji paji vingine vingi, Mbeya is the Best.
Kwa vivutio vya utalii ndio usiseme, Mbeya is the best place to be. Barabara iliyopita kwenye mwinuko wa juu kabisa barani Africa iko Mbeya.
Mbeya kuna uoyo mzuri wa asili, hebu angalia hii mandhari ya Mlima Mbeya (Mbeya Peak)
View attachment 2484032 hakika ukifika, hutotamani kuondoka.
Mbeya ndiyo nyumbani kwa Mlima Rungwe. Mlima Rungwe ndio chanzo cha mito 12 inayopita Busokelo na Rungwe kwenda ziwa Nyasa. Uhai wa ziwa Nyasa hutegema sana ekolojia ya mlima Rungwe na safu za milima ya Livingston
View attachment 2484036
Mlima Rungwe kwenye background
View attachment 2484037
Bila kutusahau WasafwaNawapa pongezi Wanyakyusa
Kila watu wana vigezo vyao. Wengine zaidi ya ekari tano ni ziwa. Wewe unatumia vigezo gani?Hili ni ziwa au dimbwi?
Au siku hizi mi ndio sielewi maana na vigezo vya ziwa?
Mbarali hapo. Shamba la mpunga la Masanja.Guess the region
View attachment 2484035
Bila ya parachichi la mbeya buji huu uzi ni batiliMbeya ni mkoa uliobarikiwa kwa baraka za mwilini na baraka za rohoni. Mbeya ni njema atakaye na aje.
Mbeya ndio mkoa ambao umekuwa ukiongoza kutoa timu nyingi zaidi zinazoshiriki Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Miongoni mwao ni Tukuyu Stars (Banyambala), Mecco, Tiger, Mbeya City, Mbeya Kwanza na Ihefu.
View attachment 2484020
.
Mkoa wa Mbeya umekuwa mchangiaji mkubwa wa chakula nchini. Mchele, mahindi, ndizi, Makatapera (parachichi), viazi na vitu vingine vizuri mdomoni na mwilini hutoka Mbeya.
View attachment 2484021
Mbeya ndio nyumbani kwa wasanii, kuanzia wanamuziki, waigizaji, magwiji wa mitindo, urembo, uchekeshaji na vipaji paji vingine vingi, Mbeya is the Best.
Kwa vivutio vya utalii ndio usiseme, Mbeya is the best place to be. Barabara iliyopita kwenye mwinuko wa juu kabisa barani Africa iko Mbeya.
Mbeya kuna uoyo mzuri wa asili, hebu angalia hii mandhari ya Mlima Mbeya (Mbeya Peak)
View attachment 2484032 hakika ukifika, hutotamani kuondoka.
Mbeya ndiyo nyumbani kwa Mlima Rungwe. Mlima Rungwe ndio chanzo cha mito 12 inayopita Busokelo na Rungwe kwenda ziwa Nyasa. Uhai wa ziwa Nyasa hutegema sana ekolojia ya mlima Rungwe na safu za milima ya Livingston
View attachment 2484036
Mlima Rungwe kwenye background
View attachment 2484037
Unataka li katapera?Bila ya parachichi la mbeya buji huu uzi ni batili
Tanga kutamu sana, hapajawahi kunichosha
Mwagona holo waneBila kutusahau Wasafwa
Sawa mkuu Ila ninyi mmekimbia mji wenu na kuwaachia wanyakyusABila kutusahau Wasafwa
Tupo mkuu, sema wanyakyusa ni wengi ndiyo maana wanatumeza.Sawa mkuu Ila ninyi mmekimbia mji wenu na kuwaachia wanyakyusA
Kwa hy ndio Sababu ya ninyi kukimbila mliman mkuuTupo mkuu, sema wanyakyusa ni wengi ndiyo maana wanatumeza.
NgosiView attachment 2484061
Lake Ngozi
Ndagha malafyale. NarekebishaNgosi
Kuna sababu nyingi. Kwenye miji mikubwa huwa hivyo. Hata Dar wazaramo wanakimbia mjini. Wagogo huwakuti Dodoma mjini. Miji kama Arusha na Mwanza utakuta wenyeji mjini kati wachache sana. Nenda Moro utakuta Waluguru wanakimbilia pembezoni.Kwa hy ndio Sababu ya ninyi kukimbila mliman mkuu