Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #61
Rudi nyumbani kumenoga-Kulia kwa hii road ni shule ya sekondari lufilyo
-nyuma kidogo kushoto nyumambani kwa prof.mark.
-ukienda mbele kidogo kuna mto ukivuka kuna kijiji cha lufilyo.
kokoa,maembe,parachichi,ndizi na vyakula vya kila aina vipo hapo. Hali ya hewa nzuri pia.
Natamani kama umri ungekuwa unarudi nyuma ningerudisha nikasome tena LUFILYO HIGH SCHOOL.