Kaboya Kenneth
JF-Expert Member
- Aug 4, 2009
- 286
- 278
Kumbeje kununu mwe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbeje kununu mwe!
Lugha mtihani mkuu. Najua tu Shinza nyinza na mwagona uli🙂Mwagona holo wane
Bwawa au dimbwi huchimbwa au hutengenezwa. Ziwa huwa la asili, liwe kubwa au dogoKwa bwawa nakubaliana nao ila kuita ziwa ni ulaghai wa wazi kabisa
Hapo nimesema u hali gani ndugu yangu?Lugha mtihani mkuu. Najua tu Shinza nyinza na mwagona uli🙂
Nilikupata. Kujibu ndiyo shidaHapo nimesema u hali gani ndugu yangu?
Shinyanga haiwezi kuwa na uoto wa hivyoShinyanga
Hapo ziwani panafaa sana kuanzisha mashindano ya Kayaking,. Buji ukitaka kujua Mbeya nzuri pitia hiki kitabu sura ya Safari yangu ya ziwa Nyasa. Wazungu walipofika kwa Wakonde walikuta nchi nzuri ajabu, na wenyewe Wakonde wakijidai kuwa hakuna nchi nzuri kama yao. Walikuta jamaa wanajiamini hawanyenyekei mzungu wala nani. Wakaenda Ukinga wakaingia Usafwa, wakakuta nchi nzuri msitu mtupu. Ukiingia jua halionekani. Wakaenda Utengule kwa Merere. Kipindi hicho Merere kapigwa na Wahehe kakimbilia Usafwa, halafu mzinguzi mno 🙂 Akiambia muda wa kukutana hatokei🙂🙂
Morovian Tukuyu karibu na shule ya msingi Bagamoyo na Kalatekisi
Umebugi mzee yapo mabwawa ya asili na pia madimbwiBwawa au dimbwi huchimbwa au hutengenezwa. Ziwa huwa la asili, liwe kubwa au dogo
Hongera uliyepatia. Ila kuchimba si lazima awe mtu. Aweza kuwa mnyama, mafuriko, tetemeko, nkUmebugi mzee yapo mabwawa ya asili na pia madimbwi
Kwa tafsiri yako hiyo uliyoiweka hapo hata yale unayo ya consider kama maziwa bado yatakuwa yamechimbwaHongera uliyepatia. Ila kuchimba si lazima awe mtu. Aweza kuwa mnyama, mafuriko, tetemeko, nk
Sawa mkuu nimekusomaKuna sababu nyingi. Kwenye miji mikubwa huwa hivyo. Hata Dar wazaramo wanakimbia mjini. Wagogo huwakuti Dodoma mjini. Miji kama Arusha na Mwanza utakuta wenyeji mjini kati wachache sana. Nenda Moro utakuta Waluguru wanakimbilia pembezoni.
Mambo ya Pareto hayo.