Uchaguzi 2020 Mbeya: Joseph Mbilinyi(Sugu) akamatwa na Polisi wakati akichukua fomu ya Uteuzi

Uchaguzi 2020 Mbeya: Joseph Mbilinyi(Sugu) akamatwa na Polisi wakati akichukua fomu ya Uteuzi

Mk
Vijana wa Mbeya Embu leo pelekeni salamu kwa hao watu wajue Uchaguzi huu hatutaki uonevu. Wala msiukalie kimya huu uonevu wa mchana kweupe. Najua hamuwezi kuniangusha
Mkuu Wangu Mbona Unahamasisha vurugu?!!!

It's true Yule POLISI mmoja amekosea sana,hasa kutoa lugha Yenye kumdhalilisha Yeye Mwenyewe...na pia kumdhalilisha mbunge wake.....

Limeonekana....na nadhani halitapita bila kukosolewa na mamlaka zaidi ya wao....

Amani Kwanza
Tanzania Kwanza.
 
Tulionya awali wafute vyama vyote kibaki chao pekee, wafute chaguzi wajiteue wenyewe na wapendwa wao ili wasiumize raia bila sababu.
Tanzania ni mali ya watanzania si mali ya ukoo au chama fulani.
Watu wakichoka sote tutataabika...
 
Lakini hebu tuseme ukweli kwa nini ameenda kuchukua fomu na maandamano wakati hawaruhusiwi? Mbona wangombea urais akiwemo Msaliti Lissu hawakuenda na maandamano?? Ameyataka mwenyewe!
Define maandamano kisheria.
 
Kama ni hivyo basi walinzi wawili watatu watosha.

Si kundi kubwa la watu hiyo yaleta vurugu na uvunjifu wa utulivu.

Kwahiyo ww ndio unataka iwe hivyo?

Nani kakwambia hao watu walifanya vurugu na uvunjifu wautulivu...
Usiwapangie watu Cha kufanya.

Hali bado kidogo kuwa tete... Haki aiombwi ila inatafutwa..
 
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Joseph Mbilinyi (SUGU) kwa tuhuma za kuratibu maandamano kinyume cha Sheria, tukio hilo limetokea leo alipokuwa anachukua fomu ya kuwania tiketi ya Ubunge jimbo la Mbeya Mjini kupitia tiketi ya chama chake cha Chadema.

Sugu amekamatwa pamoja na wanachama wa Wengine wa CHADEMA. Baadhi ya Waliokamatwa ni Stive Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa, Katibu wa mbunge, Kasambala.

Hii imetokeaa bila kujulikana sababu, angalia.

Mleta uzi please naomba utuweke sawa hayo maandamano yalikuwa yanahusubnini!?
 
Ila wakae wakijua cheo ni dhamana,mtaani lazima tukutane tu
 
Yeye police alipomdhihaki kuwa hana uheshimiwa wowote hukuiona hiyo kama provocative vile vile ?!. Kote watu wamechkuwa fomu hivyo na hakuna hata glasi iliyovunjika. Kwanini iwe tofauti kwa Sugu ?!


From this video you get a different perspective polisi anapoweka mikono yake yote kifuani au kwa nyuma ana ashiria tii kwa amani.

Ukinyanyua yako una ashiria shari kwake na umemruhusu kutumia nguvu. Kwanza unaposhikwa na polisi hakikisha mikono yako anaiona.

Halafu kumbe ukaidi ulianzia getini. Japo lugha ya polisi aikuwa nzuri I think both parties are blameworthy after watching the second video.
 
Tunaomba majina kamili ya huyo Polisi aliyeongoza operesheni ya kumzuia Sugu kuchukua fomu , nakuhakikishieni kwamba nitaongoza kampeni ya kumfuta kazi baada ya uchaguzi
Hahahhahahah We jamaa nawe umebaki kuwa Mbeya na muongo muongo

Naomba majibu ya haya yafuatayo

-Naibu speaker Tulia atavuliwa cheo vipi movement imeishiwa wapi
-Dr Mwakyembe atavuliwa ubunge na Mwamnyaki vipi umefikia wapi?
 
Polisi wako makini kuwakamata wabunge wa Chadema pekee, wale wahuni waliochoma ofisi za Chadema Arusha Mjini mpaka muda huu bado sijasikia taarifa yoyote toka jeshi la polisi.

Hii ni aibu kwa jeshi la polisi Tanzania.
Kwani machadema mnakuwa wapi Hadi wanachoma ofisi? Ndo mtaingia barabarani kweli nyie?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Ni taarifa ya kusudio la jambo utakalo fanya!
From the intention of the law (this is very important in interpreting meaning of words in written law) if a permission needs to be granted before public gathering. In that case ‘notifification in writing’ means application to assemble and not othewise.

Mtu mwenyewe ata ningemuuliza anipe aina tatu jaji anaweza ku interpret maandishi ya kisheria yalikuwa yanamaanisha kama anaamua kesi mahakama sidhani kama anajua ata mamna moja even with google help.

Kuna watu ukishaona shallow hakuna sababu ya kubishana nao.
 
Hahahhahahah We jamaa nawe umebaki kuwa Mbeya na muongo muongo

Naomba majibu ya haya yafuatayo

-Naibu speaker Tulia atavuliwa cheo vipi movement imeishiwa wapi
-Dr Mwakyembe atavuliwa ubunge na Mwamnyaki vipi umefikia wapi?
Mwakyembe ndio basi tena
 
Polisi anasema kabisa eti acha Use.nge wewe. Hii ni too much
 
Polisi ufanya kazi nzuri Sana ya kuwapa umaarufu wapinzani kwa dabo standard zao Ackson Tulia ye ni ruksa kwenda na wasindikizaji kuchukua fomu Ila Sugu aruhusiwi, hata aibu hawana
 
Polisi wako makini kuwakamata wabunge wa Chadema pekee, wale wahuni waliochoma ofisi za Chadema Arusha Mjini mpaka muda huu bado sijasikia taarifa yoyote toka jeshi la polisi.

Hii ni aibu kwa jeshi la polisi Tanzania.
Hutokaa kamwe usikie wamekamatwa!! Kwa maana wachomaji ni "wasiojulikana toka Mars au Jupiter "
Tutayaona mengi huu ni mwanzo...
 
Back
Top Bottom